Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

Nani kakwambia Waislam wanashindwa kujenga msikiti? Siasa zitawaua na hiyo michango ya kitimoto mliyotoa lazima wapwa waipige ubwabwa tu na ghahwa kiroho safi.
 
Sasa paroko akupe majibu gani? Nenda kwa huyo mpenda sifa aliyechaangisha hizo pesa.
Paroko utakuwa unamuonea tu.
 
Mfumo Kristo

Jr[emoji769]
 
Sawa!
 
Jambo hili nikama kueka usawa kwani waislamu ndio waliaanza saidia kujenga kanisa halafu wamefata wao sio ubaya kwa kawaida labda viongozi wa dini walieke sawa hilo
 
Ukisikia kubugi ndio huko, hata hizo hela zikipokelewa na kujenga msikiti, watakao swali labda wawe wao wagalatia.Muislamu mwenye imani thabiti sidhani kama atafanya huo ujinga.
 

Ni kiongozi gani wa kiislamu aliyewapa kanisa kazi ya kujenga msikiti?
 
Usimlaumu yeyote hapo, kumbuka woga umetamalaki kwa sasa na kila mtu anatetea nafsi yake. Jiulize Baba Paroko wako aliombwa akamkabidhi Shehe husika mchango uliopatikana, kwanini aliyekabidhi leo si Baba Paroko ?
 
Hiyo imetokeaje, wakati alimpa askofu ili awakabidhi hao wenye msikiti wao? Hii sasa ni kampeni!!!
 
Zipo nchi zaidi ya kumi duniani ambazo hazijaguswa na korona.

Tz mambukizi 509 vifo 21.Je hapo
Ni wepi ambao mungu aliwasikiliza
zaidi?
 
Ukisikia kubugi ndio huko, hata hizo hela zikipokelewa na kujenga msikiti, watakao swali labda wawe wao wagalatia.Muislamu mwenye imani thabiti sidhani kama atafanya huo ujinga.
Ndio hivyo tena, Sheikh wa wilaya keshapokea!!
 
Hahaha ahakikishe wanajengea msikiti fedha hizo, wasije sema zimepotea.

Wakipungukiwa wampigie simu paroko, tutachanga tena.

Kanisa lineamua kujenga msikiti kila kata, waswali mpaka wachoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…