Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wewe utakuwa ni wale watoto wa dot.comWaislamu wanajidharirisha sana yaani kanisa limepewa kazi ya kujenga mskiti hivi wanajielewa kweli hawa watu? Je Yale mafundisho was mtume s.a.w wanayaelewa kweli au ndio lugha ya kiarabu imewafanya kukariri tu bila kureason
NAUSIKITIKIA UMMA WA KIISLAMU kama viongozi hawata paza sauti juu ya hili IPO siku nguruwe atauzwa msikitini na waislamu watamuogopa huyu mungu mtu
Unaijua misingi ya kiislamu na nguzo zake? Au unaandika sababu umepata nafas humu ? Uliza wanaoijua dini wakueleze nadhan umejibu kimhemko zaidi kuliko utashi wa kufikiriWewe utakuwa ni wale watoto wa dot.com
Acha kuongea pumba. Dini zote zinafundisha upendo na haupo upendo wenye kubagua dini moja dhidi ya nyingine.Unaijua misingi ya kiislamu na nguzo zake? Au unaandika sababu umepata nafas humu ? Uliza wanaoijua dini wakueleze nadhan umejibu kimhemko zaidi kuliko utashi wa kufikiri
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Ni jambo jema kwa manufaa ya taifa letu.Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata.
Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa.
Chanzo: East Africa Radio
Narudia tena unazijua nguzo za uislamu na misingi yake?Acha kuongea pumba. Dini zote zinafundisha upendo na haupo upendo wenye kubagua dini moja dhidi ya nyingine.
Wewe unaezijua msaidie!Narudia tena unazijua nguzo za uislamu na misingi yake?
Kama hajui basi asiwe mbishi akubali kuna tatizo kila dini ina nguzo na kanuni zake hakuna dini usiyokuwa na kanuniWewe unaezijua msaidie!
Sasa wewe unajua mtu hawezi kujinasua ndio kwanza unamkwamisha kwa kumuuliza jambo ambalo hawezi kujibu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Kama hajui basi asiwe mbishi akubali kuna tatizo kila dini ina nguzo na kanuni zake hakuna dini usiyokuwa na kanuni
Ndio maana nikaeleza hapo juu kuna tatizo mahali
Hakuna kilichokosewa. Ni kweli Mhe raisi alichangisha pesa kanisani ili kujenga msikiti.Mchango wa ujenzi wa msikiti ukachangwe kanisani?how!!!!
Sijaelewa....au mleta mada ni typing error?weka nyama kidogo!
Huyo yeye anajibu kisiasa badala ya hoja niliyoileta aniita mimi kijana wa dot.com pengne mimi ni baba yake kiumri anajua kila MTU humu ni mtotoSasa wewe unajua mtu hawezi kujinasua ndio kwanza unamkwamisha kwa kumuuliza jambo ambalo hawezi kujibu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Kakukosea sana kama kakuita hivyo, jana kuna uzi nilipitia kuna jamaa akawa anatoa stori ya tukio lilotokea miaka ya 80! Pole sana chief!! Wengine hawajui kuwa humu kuna wakubwa zao. Msamehe buree!! [emoji120][emoji120][emoji120]Huyo yeye anajibu kisiasa badala ya hoja niliyoileta aniita mm kijana wa dot.com pengne mm n baba yake kiumri anajua kila MTU humu n mtoto
Haina shida mkuu tupo pamojaKakukosea sana kama kakuita hivyo, jana kuna uzi nilipitia kuna jamaa akawa anatoa stori ya tukio lilotokea miaka ya 80! Pole sana chief!! Wengine hawajui kuwa humu kuna wakubwa zao. Msamehe buree!! [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwani kuna dhambi gani kuchangia ujenzi wa msikiti?Humo zimo hela za faida ya kuuza kitimoto, kuuza ulabu nk. Ni vizuri kuona hatubaguani siku hizi.
Wewe Unaijua misingi ya uislam kuliko Alhaj anayefanya kazi na Rais wa nchi?.Narudia tena unazijua nguzo za uislamu na misingi yake?
Kuwa sheikh mkuu hakumpelekei kutofanya makosa au kukengeuka sometimes, hata mtume mwenyewe kuna kipindi alitaka kukengeuka na ndipo ikateremshwa Sura An Nabai, kipindi alipomjia kipofu. Acha pumba!Wewe Unaijua misingi ya uislam kuliko Alhaj anayefanya kazi na Rais wa nchi?.
Unaijua misingi kuliko Sheikh Mkuu?.
Unaishi dunia gani hulijui tukoMchango wa ujenzi wa msikiti ukachangwe kanisani?how!!!!
Sijaelewa....au mleta mada ni typing error?weka nyama kidogo!
Kwa hyo kuwa alhaj ndio kujua sheria za dini kwa taarifa tuna maalhaj wengi tu kuna mdau kakuambia hata mzee yusuf n alhaj lakn anacheza taarabWewe Unaijua misingi ya uislam kuliko Alhaj anayefanya kazi na Rais wa nchi?.
Unaijua misingi kuliko Sheikh Mkuu?.
Pesa iliyochangwa tayari imeshaanza kununulia mifuko ya simenti wewe unakuja na sura za Quran!.Kuwa sheikh mkuu hakumpelekei kutofanya makosa au kukengeuka sometimes, hata mtume mwenyewe kuna kipindi alitaka kukengeuka na ndipo ikateremshwa Sura An Nabai, kipindi alipomjia kipofu. Acha pumba!
Tatizo unalo wewe mwenye kujifanya una haki kuliko wengine.Kwa hyo kuwa alhaj ndio kujua sheria za dini kwa taarifa tuna maalhaj wengi tu kuna mdau kakuambia hata mzee yusuf n alhaj lakn anacheza taarab
Gwajima naye n askofu lakni amecheza filamu ya ngono katukana maaskofu wenzake hadharani
Tukubali tu kuna tatzo mahali katika hili kuwa mkuu wa sehemu fulan haimaanishi unajua kila kitu
Mchango wa ujenzi wa msikiti ukachangwe kanisani?how!!!!
Sijaelewa....au mleta mada ni typing error?weka nyama kidogo!