Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Solution ya haya yote ni kuiondoa CCMShida ya TRA ni mindset hasi ya watendaji kwa wafanyabiashara, kufanya kazi kwa mazoea, kukimbizia malengo kwa hofu bila kueleza ukweli kuwa hayafikiki,kukosa ubunifu wa kupanua wigo wa kodi ili idadi kubwa ya wananchi washiriki kulipa kodi ya moja kwa moja direct tax na hususani kupunguza sekta isiyo rasmi. Mwisho kupenda Rushwa hususani vijana wasio na uzalendo. Kuna haja ya kuangalia upya sera,sheria na kanuni za kodi na tozo.