Me nadhani serikali na tra wangeanza kufanya tafiti na majaribio ya kulipa kwa mtandao/digital transfer via bank a/c au mitandao ya simu. kwakuanzia malipo ya manunuzi yeyote yanayozidi 20k yalipwe kwa tiGO,M/pesa,benk lips au kwa mtandao wowote,ili mradi sio hard cash
Napendekeza wangeanza na miji kadhaa mikubwa tz eg dsm,mwanza na majiji yote