Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

Maskini, sa inakuwaje wale viherehere wa humu? Kama Pascal namhurumia sana aisee!
 

Mkuu unaelewa nini mtu akisema Ndugu Polepole ni mjengaji mzuri wa hoja? Sitaki kukupinga ila tu nikuambie ukitaka kuuona ujengaji hoja wa mtu yeyote achilia mbali Polepole jiweke neutral.

Ukiwa na upande wa kuegemea tu hutoweza hata kumkosoa mfuasi wako mwenyewe.
 
Huyu anachukua nafasi ya mwakyembe
 
Mara paapi, kila mwezi 12m, 50m ya gari papo hapo, maposho kila kikao na maposho ya safari! Kudadeki...
Kweli bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi...
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hawa sijui wataapishiwa wapi au watafanya kama wale covid19
 
Wazir wa habar,sanaa na mchezo huyooo .
 
Nilisimamia na Nilahakikisha wasimimizi wa uchaguzi na wasaidiz wao wanaingia na vibegi siku ya kupiga kura

Hiyo ndio njia niliyotumia
Aha sawa polepole nipigie basi namimi chapuo kwa mwenyekiti wetu wachama
 
Kwa vigezo vipi labda, kama ni kwa kujipendekeza hapo sawa. Lakini kama ni kujipendekeza mstari nao ni mrefu sana, maana mpaka Paskali Mayalla yuko kwenye mstari, unapataje ww kwa mfano?
Nikuambie tu,ninamfahamu Magufuli tangia akiwa nobody,nimesoma,uwezo ninao. Sema mimi sio mwanasiasa. Na kwenye eneo langu la kazi mimi ndo Chief wa service. Iam happy where iam.Ningetaka vyeo vya kisiasa ningeshapata longtime.
 
Kwahyo uenezi ndio basi? Au vyeo vyote viwili vyake[emoji849]
 
ANGEBANDIKA MAJINA YAKE 10 YAISHE SIO KUTOA JINA MOJA.

HAJIAMINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…