Tupe connection mkuuNikikumbuka kuanzia bunge la katiba. Mara kwenye serikali ya JPM alivyobadilika. Unafki unalipa. Hivi nyie mnaolalamika hamna kazi mbona fursa zipo pale Lumumba. Au hamna number ya Magufuli niwape ????Hongera Polepole ukale keki ya taifa waziri wa utalii na maliasili.
Mwana Fa hawezi kupewa uwaziri kamili, akibahatika ni Naibu waziri, hana Cv yoyote ya uongozi zaidi ya kuwa msanii mzuri na msomi. Ubunge tu tayari ameanza kujitunisha akipewa uwaziri directly atatemea mate wenzie, acha apoozwe kwanza.Lakini kasoma kama Juliana Shonza aliweza kuwa naibu mwana FA uwaziri atauweza
Chama hakijasaidiwa na Polepole, bali madaraka ya rais yanayotumika vibaya ndio yanayokibeba chama.Yes, kakisaidia chama na kwa kuwa huu ndiyo muhula wa mwisho wa kwa Rais inabidi apewe shavu - si yeye tu kwa uzoefu wengine watafuata
Anaboa kichiz..Huyu mzeeh kwnn asimalize tu teuzi zote na kzi ikaanza rasmi.. Sawa inakuwa kila Siku teuzi mojamoja kama anavizia vile..
Atoe mikeka yote watu wajue na waanze majukumu yao,, aache uzwazwa
...........999.Tena saa dakika moja iliyopita alikuwa online WhatsApp. 😂😂😂Tupe connection mkuu
Mipasho inahamia upande kwenye mjumbaView attachment 1637307
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bw. Humphrey Polepole ni Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Pili, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bi. Riziki Said Lulida kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge Wateule hao wataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
View attachment 1637284
Mimi naipenda kazi yangu. Ningetaka uteuzi,ningeshateuliwa long time. Maana i know the rules of this game.@Victoire inamaana mnakwama wapi hata kuteuliwa hamna?
NahisiHuyo Bi Riziki ni yule wa CUF?
Siyo michezo. Ni waziri wizara nyeti. Michezo atapewa Mnyeti.Malizia pole pole pia ni waziri wa michezo, mbona rahisi sana!
Zamani sio sasa, ukiwa upande wa kupinga ni rahisi kujenga hoja na kufafanua, maana awali alikuwa mpinzani aliyejificha!Magufuli anatengeneza team bungeni ya kubadili katiba ili kuondoa ukomo. Pole pole anayajua sana kujenga hoja. Tuweke uongo pembeni.
Anaweza kuendelea kuishikilia kwani umesahau Nape alikuwa katibu muenezi na bado alikuwa mbunge kipindi cha kikwete
Kafanya kazi kubwa kuhakikisha upinzani haupati viti mwaka 2020.Polepole atakuwa waziri
NEC wanasema alishinda, tena kwa 84%.Aliemteua alishinda uraisi?
Badoo nafasi nane mkuu usihofuSafi sana, ndo wadau wa maendeleo waone demokrasia yetu ilibyopevuka. Yaani katibu mwenezi anakuwa mbunge wa kuteuliwa nafasi maalum za Rais zinazohtaji wataalamu.