Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha le mutuz hajchukua fomu Hata ya udiwani?Hahah Agness,Balozi,Tanapa ni kula maisha tu mzee baba.
Hao sasa wakisema tuko uchumi wa kati unawaelewa vzr ila wale ndg zangu dizaini za kina Le Mutuz nawaonea huruma tu hahah.
Isikute kampiga chini vile alikuwa anamkaba waziriProf Mkenda wa Maliasili naye ameenda kutia nia au kastaafu?
Hivi watanzania wenye uwezo wameisha! Watu wale wale kila siku.Kapewa double plate. Yupo kotekote
Mkenda yupo maeneo ya Same muda huu anawahi Rombo kutangaza nia. Ila amuangalie prodyuza vizuri maana yule jamaa ana majini yote saba!Amemuwinda Prof Adolf Mkenda muda mrefu akamkosa! Hata alipofuatilia ufisadi alikuta ni mwanae kigwangala ndiye kibaka na mwizi wa fedha za TANAPA. Adolf alikuwa anawabana wasikwibe sasa anatolewa ili wapige hiyo TANAPA hadi itapike damu fedha za uchaguzi october 2020! Magu ni jambazi mwenye silaha anashirikiana na wezi.
Hahah yule ataishia tu kua mpambe wa kina Davis Mosha,le bilioneaz you knw Goddamn bla bla bla kibao mzee baba.
Hahahaha, kwa chukua chukua hii nilijua nae atajaribuHahah yule ataishia tu kua mpambe wa kina Davis Mosha,le bilioneaz you knw Goddamn bla bla bla kibao mzee baba.
Katangaza nia tayari, nadhani ubungo patamhusu.prof.kitila mkumbo kaenda wapi wajameni................au na yeye katangaza nia???????????????
Hahah kama alikosa ule wa Afrika Mashariki ambapo watoto wa vigogo walipata akiwemo yule wa mwinyi(mdogo wake na rais wa zenji mtarajiwa,mtoto wa Prof. Maghembe walipata basi hio ndio imeisha hio mzee baba.
Hivi kuna mtu yeyote even follow up this guy is juggling around with?
Kwani Rais kazuia mtu kugombea? Mbona alisema hadharani kabisa tena kwa moyo mweupe anayetaka kugombea aseme yeye hawezi kumzuia, na ndo watu unaona wa naondoka wenyewe. Tukija kwenye swala la tamaa, kiukweli huo ndio uhalisia, wote wanaoacha teuzi na kwenda kugombea ubunge ni tamaa zao za fedha tu, mana kiutendeji mkuu wa Mkoa, wilaya au katibu wa wizara wana eneo kubwa la utendaji na kumsaidia Rais katika majumu yake kuliko hata ubunge... Kwanza Bunge ni mhimili tofauti... Kiukweli ni Tamaa tu.Mimi naona mwenyekiti na yeye wangemzuia kugombea mimi naisi asingefika hapo alipo hii ni kuzuia demokrasia
kiongozi wa serikali hatakiwi kujihusisha na siasa hujui hilo? Akishajitosa siasa anapoteza uhalali wa kuwa ofisi ya serikali .Chukulia hao wangekuwa ni Chadema au CUF wameenda kutia nia CHadema au CUF wakiwa wafanyakazi wa serikali si watu wangepiga kelele kuwa waondoke kwenye nafasi zaoKutwa ni kuteua, kwanini asisubiri mchato wa kura za maoni uishe ndiyo ateue?
Vyote viwili ni vyake kwa mpigo mkuu.Ina maana Kijazi itabidi aachie kiti cha TANAPA siyo?
Hapana imeandikwa ataendelea kukikalia pia ni kam msemaji wa serikali na wakati huohuo ni katibu mkuu wizara ya MwakyembeIna maana Kijazi itabidi aachie kiti cha TANAPA siyo?
Hapana. Anapata mshahara mmoja Wa Tanapa ila wizarani atapewa stahili za nafasi yake ambazo hazipati Tanapa ambapo kimsingi hakuna stahiki ambazo zipo wizarani kisha hazipo Tanapa. Atatengenezewa posho za kufanyakazi kwenye mazingira magumuAnafaya kazi sehemu mbili na kupata mshahara mara mbili ama🤔🤪