Rais Magufuli awatumbua Kitila Mkumbo, Ole Sendeka na Katambi, awateua Jumanne Fhika, Dr. Aloyce Nzuki, Allan Kijazi, Josephat Paulo, Kemikimba

Rais Magufuli awatumbua Kitila Mkumbo, Ole Sendeka na Katambi, awateua Jumanne Fhika, Dr. Aloyce Nzuki, Allan Kijazi, Josephat Paulo, Kemikimba

Amemuwinda Prof Adolf Mkenda muda mrefu akamkosa! Hata alipofuatilia ufisadi alikuta ni mwanae kigwangala ndiye kibaka na mwizi wa fedha za TANAPA. Adolf alikuwa anawabana wasikwibe sasa anatolewa ili wapige hiyo TANAPA hadi itapike damu fedha za uchaguzi october 2020! Magu ni jambazi mwenye silaha anashirikiana na wezi.
Mkenda yupo maeneo ya Same muda huu anawahi Rombo kutangaza nia. Ila amuangalie prodyuza vizuri maana yule jamaa ana majini yote saba!
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Kazini Saa Zote
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Ampe Maisha Marefu Yasiyo Na Mwisho
 
Hivi kuna mtu yeyote even follow up this guy is juggling around with?

Nobody even knows the names of the ministers or RCs or anything this guy is involved with.

Nobody!

Amestukia hata wateule wake dont even care what his government intends....watu washamchoka..

At one point,amegundua hana power over people's will....

Hawa wateule waliotia nia wanajua exactly hawatapitishwa,they know...wanajua they are content with staying home..they dont care at all.
 
Mimi naona mwenyekiti na yeye wangemzuia kugombea mimi naisi asingefika hapo alipo hii ni kuzuia demokrasia
Kwani Rais kazuia mtu kugombea? Mbona alisema hadharani kabisa tena kwa moyo mweupe anayetaka kugombea aseme yeye hawezi kumzuia, na ndo watu unaona wa naondoka wenyewe. Tukija kwenye swala la tamaa, kiukweli huo ndio uhalisia, wote wanaoacha teuzi na kwenda kugombea ubunge ni tamaa zao za fedha tu, mana kiutendeji mkuu wa Mkoa, wilaya au katibu wa wizara wana eneo kubwa la utendaji na kumsaidia Rais katika majumu yake kuliko hata ubunge... Kwanza Bunge ni mhimili tofauti... Kiukweli ni Tamaa tu.
 
Kutwa ni kuteua, kwanini asisubiri mchato wa kura za maoni uishe ndiyo ateue?
kiongozi wa serikali hatakiwi kujihusisha na siasa hujui hilo? Akishajitosa siasa anapoteza uhalali wa kuwa ofisi ya serikali .Chukulia hao wangekuwa ni Chadema au CUF wameenda kutia nia CHadema au CUF wakiwa wafanyakazi wa serikali si watu wangepiga kelele kuwa waondoke kwenye nafasi zao

Nchi hii ajira hamna sasa mtu aridhike na alipo au aachie wengine sio huku anataka na huku alikotaka anataka huo ni ulafi
 
Anafaya kazi sehemu mbili na kupata mshahara mara mbili ama🤔🤪
Hapana. Anapata mshahara mmoja Wa Tanapa ila wizarani atapewa stahili za nafasi yake ambazo hazipati Tanapa ambapo kimsingi hakuna stahiki ambazo zipo wizarani kisha hazipo Tanapa. Atatengenezewa posho za kufanyakazi kwenye mazingira magumu
 
Magufuli kawatengenezea gas chamber bila wao kujijua.
Nimejifunza kitu Magufuli hachoki panga pangua hadi anamaliza ukomo wa uraisi.
 
Back
Top Bottom