Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Huu ni uonevu nadhani kuanzia ngazi fulani,mbona kuna baadhi ya mawaziri kabisa tena ngazi za juu wao hatengii uwaziri wao sasa kama ni hivyo
Usisahau kuwa uwaziri hutokana na ubunge bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uonevu nadhani kuanzia ngazi fulani,mbona kuna baadhi ya mawaziri kabisa tena ngazi za juu wao hatengii uwaziri wao sasa kama ni hivyo
Hapana imeandikwa ataendelea kukikalia pia ni kam msemaji wa serikali na wakati huohuo ni katibu mkuu wizara ya Mwakyembe
serikalini hata ukiwa unafanyakazi ofisi kumi huwa unalipwa mshahara mmoja tu. Mfano, waziri huwa ni mbunge, angeweza kulipwa mshahara Wa ubunge na Wa uwaziri Ila ukishakuwa waziri unaondolewa kwenye payroll ya bunge, unabaki kulipwa wizarani tu. Bungeni atakuwa analipwa posho za vikao tu. Kwa ishu ya kijazi itaangaliwa kati ya wizarani na Tanapa wapi analipwa mshahara mkubwa, kama ni Tanapa ataendelea na mshahara Wa huko, kama Wa wizara ni mkubwa atalipwa Wa wizara.Mzee ebu nielekeze vizuri 🤪🤦
Walidhani wameivisha kumbe wametoa bokoTutaelewana tu mdogo mdogo.
Sio tamaa tu, hii inahusu pia kuwa kinyume nae kupitia mhimili mwingine!!Kwani Rais kazuia mtu kugombea? Mbona alisema hadharani kabisa tena kwa moyo mweupe anayetaka kugombea aseme yeye hawezi kumzuia, na ndo watu unaona wa naondoka wenyewe. Tukija kwenye swala la tamaa, kiukweli huo ndio uhalisia, wote wanaoacha teuzi na kwenda kugombea ubunge ni tamaa zao za fedha tu, mana kiutendeji mkuu wa Mkoa, wilaya au katibu wa wizara wana eneo kubwa la utendaji na kumsaidia Rais katika majumu yake kuliko hata ubunge... Kwanza Bunge ni mhimili tofauti... Kiukweli ni Tamaa tu.
Rombo.Prof Mkenda wa Maliasili naye ameenda kutia nia au kastaafu?
Ndio najuanamaanisha kama waziri akigombe tena ubunģe basi na yeye atenguliww uwaziri wake.Usisahau kuwa uwaziri hutokana na ubunge bwashee!
Yani wachaga wawili kutoka Machame wanawaamulia nani awe Mbunge huko Usukumani..Katambi hana base yoyoye Shinyanga mjini na hajulikani maana 2015 alibebwa tu na nguvu ya Chadema.
Pale mjini GAKI, Fresho na Kwilasa ndio wanaamua mbunge awe nani
Wao ktk teuzi siwaoni kabisa au wapo Kenya siku hiziYani wachaga wawili kutoka Machame wanawaamulia nani awe Mbunge huko Usukumani..
Teh teh teh Wachagga wasumbufu sana..
Ndio najuanamaanisha kama waziri akigombe tena ubunģe basi na yeye atenguliww uwaziri wake.
Naibu si yupo?Kama unajua, basi unachanganya mambo... au kwa makusudi!
Waziri lazima awe mbunge kwanza, ukimtengua kisa amechukua fomu manake nini... utateua Waziri mwingine kutoka wapi na bunge limevunjwa!
Mkuu kuna walakini,kawaonya hawasikii,katishia kuwatumbua hawasikii vile vile,kawatumbuwa ndio kwanza wanaongeza kasi ya kutia nia.Huu utaratibu wa RAIS MAGUFULI nauunga mkono kwa 100%.
Tena wakikosa huko walikoenda, asiwateue tena. Ili mtu aweze kuifanya kazi yake vizuri, ni muhimu sana aipende, **** hawa wateule wa Rais, hawapendezwi na nafasi walizo nazo. Kwa nini aendelee kuwa nao?
Sent using Jamii Forums mobile app