Duu!!!Pokeeni hiyo swadaka tu haina shida maana nasikia hata BAKWATA ilianzishwa na wakristo.
Kuna tofauti kati ya kuzindua na kuasisi bwashee!Mkuu Badilisha heading yako unatukera wakatoliki,kwetu rais hawezi kuzindua kanisa maana sio ofisi ya serikali au chama.
Kristo mfufuka ndio mzinduzi na mmiliki wa kanisa.
Andika Rais ameshiriki ktk ibada ya kubariki jengo la kanisa.....
Hata Pope mwenyewe huwezi kuzindua kanisa,kanisa ilikuwepo na liliasisiwa na
Yesu mwenyewe.Jengo sio kanisa.
Maiti haihojiwi. Kwa neeema na baraka za Munguu, alimponesha kaka yetu kipenzi chetu. Hivyo anatakiwa akaripoti na dereva wake iliwaisaidie polisi upelelezi. Kama hatofanya hivyo kwakwelHivi nikuulize swali leo hii umekutwa umekufa polisi hawatachunguza kwasababu ndugu zako hawajaripoti mahakamani?
Wacheni hoja za kijinga na za kipuuzi. Kwanza hao polisi walishasema wanachunguza hilo shambulizi lakini mpaka leo hatuambiwi wamefikia wapi.walisema anasubiri Lissu haya amekuja lakini bado kimyaa. Huoni hii inatia mashaka kuwa wahusika ni serikali? Hilo bichwa usifugie nywele 'just think"
maiti haaiongei. Angekufa na ushaidi ungekosekanaa. Sasa kwa neeema za Mungu, alimpigania shuuujaaa wetu akaponaaa. Kinachotakiwa sasa yeye na dereva wake waendee kuisaidia polisi upeleleziiii . kushindwa kufanya hivyo kwa mtu mahili wa sheria nikuonesha kuwa kunakitu anaogopaaa. Au anakwepaaa. Aende mahakamani haraka saanaa. Aaache kulia lia.Hivi nikuulize swali leo hii umekutwa umekufa polisi hawatachunguza kwasababu ndugu zako hawajaripoti mahakamani?
Wacheni hoja za kijinga na za kipuuzi. Kwanza hao polisi walishasema wanachunguza hilo shambulizi lakini mpaka leo hatuambiwi wamefikia wapi.walisema anasubiri Lissu haya amekuja lakini bado kimyaa. Huoni hii inatia mashaka kuwa wahusika ni serikali? Hilo bichwa usifugie nywele 'just think"
Hivi huwa waenda kanisani kusali au kuhutubia?Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma.
Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
=========
Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa uzuri wa kwanza ni roho hivyo waumini watamani roho zao zipendeze kama kanisa lao, Baba askofu mkuu amemkaribisha Rais Magufuli ili awamegee busara zake.
Rais Magufuli: Matokeo ya ujenzi wa kanisa hili umefanywa na wakristo wote, wakati wa ujenzi kila mmoja alitoa alichokuwa nacho. Nakumbuka katika siku hiyo mama mzee mmoja alitoa 5,000 yote aliyokuwa nayo katika ujenzi wa kanisa hili, ujenzi umefanywa na waumini wote wa kanisa hili.
Nawashukuru wananchi wengine mbalimbali siku hiyo tukitoa mchango hapa nilikuwa napigiwa simu na baadhi ya watu wengine waislamu nakumbuka nilipigiwa na mtu mmoja kutoka Dar es Salaam na akaja kukabidhi milioni 20 kwa ajili ya ujenzi wa kanisa hili, wadau ni wengi waliojitolea na mimi nawashukuru sana kwa niaba yenu.
Nawashukuru wasimamizi ambao fedha tulizozichanga hawakuzila na shetani alikimbia mbali kuhubiri roho zao kuzila fedha hizi, tunawashukuru wajenzi hawakupoteza muda chini ya uongozi wa mkuu wa JKT na vijana wake, walikuja na kushiriki katika ujenzi huu. Vijana walioshiriki ujenzi huu si wakristo tu, walikuwepo Waislamu wamejenga, Roman, Wasabato, KKKT, Anglingana na waliookoka wamejenga.
Kikosi cha JKT nilichokiomba tukawapa fedha zilizokuwa zimechangwa na ninyi na zimechangwa na wananchi wengi napenda kuwapongeza kwa niaba yenu kwa sababu wamefanya kazi nzuri sana na huu ndio umoja wa watanzania.
Mhasham baba Askofu mkuu ndio maana mimi nilisita sana kuambiwa mimi ndie mfadhili mkuu kwa sababu ninaamini waliofadhili kanisa hili na kushiriki kwa njia moja au nyingine kukamilisha. Nilisita kubeba heshima hiyo ambayo sistahili, mimi nilitoa mapendekezo nikachangia kidogo nilichokua nacho lakini kimechangiwa kingi na wale walioshiriki kwa hiyo pongezi ni kwetu sisi sote.
Nimefurahi kumuona father Kitima, huyu ni rafiki yangu wa siku nyingi. Alikuwa ndio vice chancellor wa St. Augustine, chuo kikuu cha kule Mwanza na baadae akateuliwa kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu na leo nimefurahi kuja hapa. Yale mengine mengine maviporo viporo yanayobaki kule na kwa kuwa wewe ndie katibu mkuu wa maaskofu wote, hata hili la fence linaweza likakugusagusa kidogo. Ukaangalia angalia yale yanayobaki huko ili utusaidie sisi.
Parokia ya Chamwino ina raha yake, ina upendo mkubwa hata nyimbo mnaona zinavyogusa na uwepo wa Mungu upo, kwa ruhusa yako baba askofu ilikuwa niombe kitu kimoja. Kanisa hili wameshiriki watu wa madhehebu mbalimbali kulijenga na kiukweli mahali ambako ni makao makuu panatakiwa kuzungukwa na watu wanaomtukuza Mungu. Sio wa dhehebu moja bali yote kadri muda utavyokuwa unaenda, makao makuu lazima paende na uwepo wa Mungu.
Kama utaniruhusu, tutumie siku ya leo pia tuchange angalau tuanze kujenga msikiti wa ndugu zetu waislamu ambao msikiti wao ni mdogo nao wapo pale kwa ajili ya kumtukuza Mungu na baadhi ya wasaidizi wangu wengine ni waislamu na nataka niwatajie mmoja tu, kuna Alhaji, ameshaenda kuhiji mpaka Makka lakini ni msaidizi wangu. Ninapoingia humu inabidi lazima aingie humu kanisani lakini inapofika siku ya kwenda kumtukuza Mola wake, nimeambiwa ule msikiti bado haujawa mkubwa vizuri.
Baba Askofu, uniruhusu leo nichukue kikapu ili kama sitachukua muda wako mwingi niwaombe wakristo wenzangu tuanze kuchangie, tutamuomba baba Paroko akaziwasilishe kwa shekhe kwenye msikiti wetu na tutajipanga taratibu namna tutakavyoweza kuukarabati.
Tukimaliza hivyo tutaendelea tena katika kanisa jingine kama ni Anglikana, KKKT, Wasabato ili utukufu wa Chamwino katika kumtukuza Mungu ukasimame.
======
Rais Magufuli amechukua kikapu na mtu wa kwanza kuchangia ni baba Askofu ambae ametoa laki mbili na msaidizi wake ambae ni Alhaji atachangia lakini tatu.
Katibu mkuu wa baraza la maaskofu nae kachangia laki moja na ameeleza amemfahamu Rais tangu mwaka 2001 na alikuwa karibu sana na maaskofu na amemfahamu kupitia kwao hata leo anachokifanya inaonyesha namna gani anawapenda watanzania na amefanya vingi vinavyofanya nchi iende mbele kama rushwa iliyokuwa inaelekea kutushida,a anasema ukipita kila mahali wanasema tupeni sisi Rais Magufuli.
Jumla ya fedha zilizochangwa ni 48,021,000/= Mifuko ya simenti 48 na lori tano za mchanga.
Hivi huwa waenda kanisani kusali au kuhutubia?Rais kashiriki kwenye uzinduzi au nayeye ni Msinyori? Au mpelekwa wa Papa?
Wewe ndo kafiri mwenye chuki za kidini.binadamu wote ni ndugu na baba yetu ni Adam.Kafiri hana udugu katu na mwislamu. Mfano angalia nini anachokifanya Zanzibar. Majeshi ,mapolisi,watu wasiojulikana wamejaa kila mtaa
Wakichangia ujenzi wa kanisa YESU anarudi siku hiyo hiyo, KKama wao ambavyo wasingeweza kuchangia kwa ajili ya Kanisa😕
Wewe ndo kafiri mwenye chuki za kidini.binadamu wote ni ndugu na baba yetu ni Adam.
kama waisilamu wote ni ndugu nenda makah kahiji kisha ukimaliza waambie wale waarabu mimi ndugu yenu naomba niishi hapa.uone chamtemakuni.
Eti Upendo,Pokeeni hiyo swadaka tu haina shida maana nasikia hata BAKWATA ilianzishwa na wakristo.
Hakuna kati yetu anayemjuwa Mungu kwa.sababu hakuna aliyemuona. Mimi.nimezungumza facts na kuambatanisha na ushahidi kutoka kwenye kitabu cha Waislamu. Kama hukubaliani na mimi basi mwambie kiongozi wetu siku moja aombe sadaka ya kujenga Kanisa kutoka kwenye kongamano la Waislamu!Ni lini wewe ukamjua Mungu sawasawa? Sadaka ni sadaka na Wala haiji kwako aisee
Ni kweli mkuu unachokisema, katika Dini zetu hizi kuna Ile kukubaliana Kwa kutokukubaliana, na katika kukubaliana Kwa kutokukubaliana imepelekea kuwepo Kwa ugomvi mkubwa Sana Kati ya dini hizi mbili!Hakuna kati yetu anayemjuwa Mungu kwa.sababu hakuna aliyemuona. Mimi.nimezungumza facts na kuambatanisha na ushahidi kutoka kwenye kitabu cha Waislamu. Kama hukubaliani na mimi basi mwambie kiongozi wetu siku moja aombe sadaka ya kujenga Kanisa kutoka kwenye kongamano la Waislamu!
Ni kweli mkuu unachokisema, katika Dini zetu hizi kuna Ile kukubaliana Kwa kutokukubaliana, na katika kukubaliana Kwa kutokukubaliana imepelekea kuwepo Kwa ugomvi mkubwa Sana Kati ya dini hizi mbili!
Mimi nadhani kama upo uwezekano wa kuishi Kwa namna hii, itakuwa ni Jambo Bora Sana na Dunia itakuwa sehemu Bora Sana ya kuishi
Embu niambie leo, hizi Hali za kugawanyika Kwa Imani zetu na kukawepo uhasama mkubwa sana utadhani kuna Mungu wawili walioumba hii dunia, Nani anafaidika na hii migogoro ya kidini?
Mf. Ni dini gani ijitokeze Leo kusema, Wao ndio waliomba na Mungu akawasikia na hata Leo TANZANIA imesalimika ktk swala zima la Corona? Ni Nani ajitokeze, ikiwa dini zote hizi zilihisika kuomba Kwa pamoja?
Vinavyotutofautisha na hata kuwepo mfarakano na mauwaji ya kidini, anayefaidika sio dini, ni shetwani
Kwa hoja yako Yesu asingekuwa anaingia hekaluni kwahiyo, ni maoni yako ila sio uhalisia wa mambo nduguUwe na uelewa, kusali sio lazima uende madhabahuni. Unyenyekevu wako kwa Mungu huku ukiiishi imani yako pasi na shaka na matendo yakireflect unyenyekevu wako, hiyo inatosha.
Mungu hapendi binadamu afanye yafuatayo;
1. kupiga au kuagiza wenzako wapigwe risasi
2. Kuteka na kupoteza wenzako
3. Visasi
4.Kubagua watu kwa sababu ya itikadi ya vyama
Haya ni makubwa kuliko ibada
Yani mambo ya ajabu sana sijui wanafundishana chuki za nini wanasahau kwamba hatuwezi kuwa waoWakichangia ujenzi wa kanisa YESU anarudi siku hiyo hiyo, K
KAFIRI uchangiwe? astaghafululah
Maombi... Mungu ndio kila kitu tulipona kwa sababu tuliamua kuanza na Mungu kabla ya kuanza kuhangaika na ventilator barakoa etc etc...Mungu akasikia maombi yetuKila nikifikiria namna Corona ilivotoweka Tanzania siwezi pata picha!