Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

HIVI ASKOFU ANAAMBIWA ACHANGIE ANATOA DIRECT MFUKONI NA ANASEMA HIZI NI LAKI MBILI KWA JAMBO AMBALO NI LA GAFLA ,NA WENGINE WANAOCHANGA NI USALAMA AISEE SIHAMI BONGO KWAKWELI NA SINA MUDA WA KUDOWNLOAD SEASON TUNAZO HAPAHAPA

Ahaaaa tutaona mengi huwezi kupata wazo kanisani na hela ya kutoa mfukoni hapo hapo. Labda tuwaambie wasio jua mnakumbuka kipindi cha kikwete na mkapa kulikuwa na hoja nyingi bungeni wabunge wakihoji ahadi ya rais mbona haijatimizwa. Nini kina tokea rais anaweza kufika sehemu akakutana na changamoto fulani kitu anachotakiwa Kufanya nilutoa ahadi mimi nitasaidia au kuchangia kiasi fulani cha fedha hiyo huchukuliwa ni kauli ya serikali na kwamba serikali imeahidi na na waziri husika wa hicho kitu au wasaidizi wa rais huchukua hilo na kulifanyia kazi. Huwezi kukuta mkapa au kikwete wakatoa fedha hapo hapo kwa jambo hata hawakutarajia kukutana nalo.Ndio maana kipindi hiki watu tunafika mahali tunaona vitu vya ajabu kutokea rais anaongea na mtu au raia ana sema mimi nitachangia milioni kadhaa halafu anamwambia msaidizi wake nipe millioni tano hapo msaidizi anakuwa na milioni tano za nini? Na zinatoka kama zilivyo zimefungwaa wala hakuna mda wa kuhesabu kama zimetimia au zilizidi zipungue hizi kweli hapo unahitaji uwe na diploma kujua hicho kitu?
IMG_20200823_184936_985.JPG
 
HIVI ASKOFU ANAAMBIWA ACHANGIE ANATOA DIRECT MFUKONI NA ANASEMA HIZI NI LAKI MBILI KWA JAMBO AMBALO NI LA GAFLA ,NA WENGINE WANAOCHANGA NI USALAMA AISEE SIHAMI BONGO KWAKWELI NA SINA MUDA WA KUDOWNLOAD SEASON TUNAZO HAPAHAPA

Ahaaaa tutaona mengi huwezi kupata wazo kanisani na hela ya kutoa mfukoni hapo hapo. Labda tuwaambie wasio jua mnakumbuka kipindi cha kikwete na mkapa kulikuwa na hoja nyingi bungeni wabunge wakihoji ahadi ya rais mbona haijatimizwa. Nini kina tokea rais anaweza kufika sehemu akakutana na changamoto fulani kitu anachotakiwa Kufanya nilutoa ahadi mimi nitasaidia au kuchangia kiasi fulani cha fedha hiyo huchukuliwa ni kauli ya serikali na kwamba serikali imeahidi na na waziri husika wa hicho kitu au wasaidizi wa rais huchukua hilo na kulifanyia kazi. Huwezi kukuta mkapa au kikwete wakatoa fedha hapo hapo kwa jambo hata hawakutarajia kukutana nalo.Ndio maana kipindi hiki watu tunafika mahali tunaona vitu vya ajabu kutokea rais anaongea na mtu au raia ana sema mimi nitachangia milioni kadhaa halafu anamwambia msaidizi wake nipe millioni tano hapo msaidizi anakuwa na milioni tano za nini? Na zinatoka kama zilivyo zimefungwaa wala hakuna mda wa kuhesabu kama zimetimia au zilizidi zipungue hizi kweli hapo unahitaji uwe na diploma kujua hicho kitu?View attachment 1546219
Laki mbili mbona ni pesa ya kawaida sana kwa mtu kutembea nayo mfukoni?
 
unachojiuliza ndo ninachojiuliza aiseee nakosaga majibu cheki utasema mtakatifu vile kumbe..........
 
Huyu ayo kawa mkia
 
KUNA WATU WATAENDA MOTONI
 
Laki mbili mbona ni pesa ya kawaida sana kwa mtu kutembea nayo mfukoni?
Askofu wa Katoliki anakwenda l na hela kanisani? Askofu alikwenda nazo kwa ajili ya Sadaka wakati yeye kwa kanuni za Kanisa hatoi sadaka? Au alikwenda na pocket money kanisani? Au unalazimisha kuwa dini usiyoijua? Kwa taarifa yako Hilo haliwezekani maa
 
Ungetumia muda huu kujifunza kuandika Kwanza.
 
Hili limtu linatusumbua Bure inawezekana kabisa ni likongoman la Enzi ya zaire naona lina element zote za marehemu Mobutu seseko raisi wa zaire ! yaani siku hizi huna haja ya kuangalia shoo za kina fali pupa
 
Nahisi siku akikutanishwa na Lissu anaweza akatimua mbio aisee! Maana hataamini kama ni Lissu yule yule aliyeshambuliwa kule Dodoma mchana kweupe wakati ule, au ni mzimu.
Mnampaisha Tundu Lisu kwa lipi? Jamaa ni failure hata kabla ya uchaguzi kuanza rasmi.
 
Askofu wa Katoliki anakwenda l na hela kanisani? Askofu alikwenda nazo kwa ajili ya Sadaka wakati yeye kwa kanuni za Kanisa hatoi sadaka? Au alikwenda na pocket money kanisani? Au unalazimisha kuwa dini usiyoijua? Kwa taarifa yako Hilo haliwezekani maa
Hukuona kuna kijana alitumwa kwenda kuleta ile pesa? Wewe ulikuwepo kanisani au unasimuliwa?
 
Back
Top Bottom