REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,313
- 1,852
HIVI ASKOFU ANAAMBIWA ACHANGIE ANATOA DIRECT MFUKONI NA ANASEMA HIZI NI LAKI MBILI KWA JAMBO AMBALO NI LA GAFLA ,NA WENGINE WANAOCHANGA NI USALAMA AISEE SIHAMI BONGO KWAKWELI NA SINA MUDA WA KUDOWNLOAD SEASON TUNAZO HAPAHAPA
Ahaaaa tutaona mengi huwezi kupata wazo kanisani na hela ya kutoa mfukoni hapo hapo. Labda tuwaambie wasio jua mnakumbuka kipindi cha kikwete na mkapa kulikuwa na hoja nyingi bungeni wabunge wakihoji ahadi ya rais mbona haijatimizwa. Nini kina tokea rais anaweza kufika sehemu akakutana na changamoto fulani kitu anachotakiwa Kufanya nilutoa ahadi mimi nitasaidia au kuchangia kiasi fulani cha fedha hiyo huchukuliwa ni kauli ya serikali na kwamba serikali imeahidi na na waziri husika wa hicho kitu au wasaidizi wa rais huchukua hilo na kulifanyia kazi. Huwezi kukuta mkapa au kikwete wakatoa fedha hapo hapo kwa jambo hata hawakutarajia kukutana nalo.Ndio maana kipindi hiki watu tunafika mahali tunaona vitu vya ajabu kutokea rais anaongea na mtu au raia ana sema mimi nitachangia milioni kadhaa halafu anamwambia msaidizi wake nipe millioni tano hapo msaidizi anakuwa na milioni tano za nini? Na zinatoka kama zilivyo zimefungwaa wala hakuna mda wa kuhesabu kama zimetimia au zilizidi zipungue hizi kweli hapo unahitaji uwe na diploma kujua hicho kitu?