Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Aibu gani sasa?..Japo kuchangiana ni jambo jema ila muktadha wa tukio haukua sahihi.
Ni aibu sana kwa waislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu gani sasa?..Japo kuchangiana ni jambo jema ila muktadha wa tukio haukua sahihi.
Ni aibu sana kwa waislamu
Ndio hivyo bwashee wewe endelea kulialia wenzio washapokea kitika na ujenzi umeanza kwa kasi asubuhi hii.Yule ni Sheikh wa "kazi maalum" , walikuwepo watu wa aina yake toka zamani, kwa lugha ya waislam huwa wanaitwa wanafiki
Wiaslamu tumechelewa katika hilo.Hatuna jeuri wala ujasiri wa kulikemea hilo leo.Reginald Mengi alifuatwa na akachangia misikiti mingi wakati wa Mwinyi.Juzi Kigoma Diamond Platinum,mwanamuziki (haramu katika Uislamu,Mzinzi (kwa ushahidi wa kuwa na watoto nje ya ndoa)kajenga msikiti n akaukabidhi huku akiambatana na kimada.
Hospitali za Misheni zinatibia watu wote bila kubagua.
Kwa hili,msimlaumu JPM amefanya kile kilichomsukuma kukifanya.
Waislamu tujitafakari.
Moto gani?,,ukikosa hela ndo moto wenyewe huo,,,KUNA WATU WATAENDA MOTONI
Chuo kikuu sio nyumba ya ibada. Ndio maana kile chuo kinapokea wanafunzi wa dini nyingine lakini msikiti hawaswali wakristoMissile of the Nation,
Mbona mmechangiwa vitu vingi na wakristo kikiwemo chuo kikuu cha Waislamu pale Morogoro!
Hapa nilichoona nikile "kunya anye kuku akinya bata ..........."Wiaslamu tumechelewa katika hilo.Hatuna jeuri wala ujasiri wa kulikemea hilo leo.Reginald Mengi alifuatwa na akachangia misikiti mingi wakati wa Mwinyi.Juzi Kigoma Diamond Platinum,mwanamuziki (haramu katika Uislamu,Mzinzi (kwa ushahidi wa kuwa na watoto nje ya ndoa)kajenga msikiti n akaukabidhi huku akiambatana na kimada.
Hospitali za Misheni zinatibia watu wote bila kubagua.
Kwa hili,msimlaumu JPM amefanya kile kilichomsukuma kukifanya.
Waislamu tujitafakari.
Unautaka ushaidi wa aina gani?Una ushahidi wa uzinzi wa mtu?
Unao mashahidi wanne walioshuhudia live jamaa akila mzigo?
Hospitali ni vituo vya biashara. Watu wanatoa hela huko kuhudumiwa!
Ndugu yangu Naantombe Mushi, nikiwaza pia mwenye mapato ya biashara ya Kitimoto akichangia ujenzi wa msikiti kwa fedha za biashara yake na shehe akipokea kwa furaha mchango huoNikifikiria jinsi waislamu wanavyotuonaga wala kitimoto halafu ndo tunawachangia kujenga msikiti, nacheka sana aisee
Ni kweli mkuu,Hakuna ubaya kuchangishana kujenga nyumba za ibada,,ili wakazi wa maeneo hayo nao wapate pa kuabudia
Unautaka ushaidi wa aina gani?