Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hauwahusu ndio mnajipendekeza tu.Kwa mumtadha huo Wakawachangishe waislamu wenzao....ujenzi wa misikiti mmeshasema hautuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwahusu ndio mnajipendekeza tu.Kwa mumtadha huo Wakawachangishe waislamu wenzao....ujenzi wa misikiti mmeshasema hautuhusu.
Ujenzi wa misikiti tunachangia kila siku huko mitaani.Chuo ndio msikt?
Vitu viwili tofaut kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]nipo Daslam mkuu, kwanjeka mara chache sana siku hiziNakusalimu mkuu.
Vipi upo kwanjeka???
Kuna maeneo nmengi ambayo unaweza kukuta uislam hasa wa Tanzania haujiwezi, na umekuwa ukisaidiwaHauwahusu ndio mnajipendekeza tu.
Ujenzi wa misikiti tunachangia kila siku huko mitaani.
Msikiti wa Kunduchi umechangiwa na wanunuzi wa samaki bila kujali dini zao waliokuwa wanaletewa fomu za mchango daily!
Nimesoma hadi mwisho sijaruka kipengele chochote, japo sikujua kinachoendelea lakini umeelezea vizuri nikapata mwanga,
Binafsi nakazia kwa msumari yote uliyoyaandika, Dini isichanganywe na Siasa.
Mambo ya ngazi kubwa kama hizi nashauri waachiwe viongozi wa Ngazi za juu ambao ndiyo wana mamlaka ya kusema kitu juu ya jambo lolote ndani ya inami zao, Masheikh na Ma-Askofu. Tusiwe tunaibuka tu sisi waumini kisa tuna access na mitandoa ya jamiiNdugu rais, wewe ni Rais siyo sheikh, wewe ni Mkiristu siyo Muislamu, mambo ya Waislamu waachie Waislamu wenyewe!
Una haki ya kuchangisha fedha kwa ajili ya matendo ya imani yako lakini huna haki ya kusimama ndani ya nyumba ya imani yako kudictate kipi kifanywe kwa niaba ya watu wa imani nyingine.
Waislamu wana taratibu zao za kujenga nyumba za Ibada zao, wanachangia wao wenyewe au wanatafuta mfadhili wa imani yao wao wenyewe, au wanafanya kwa kufuata taratibu za dini yao, kisha wanajenga msikiti wao!
Umewahi kusikia wapi Waislamu nchini wameendesha harambee makanisani kwa ajili ya kupata pesa kwa ajili ya kujenga misikiti yao? Au unafikiri Waislamu hawana marafiki Wakiristo wakiwemo maaskofu na mapadre ambao wangeweza kuwaomba wawafanyie harambee wajenge hizo nyumba?
Au lini umewahi kusikia maaskofu na mapadre wameomba michango kupitia misikitini ili Waislamu wachangie ujenzi wa makanisa?
Kuna mambo ni boundary ya kuheshimiana kiimani, nayo ni kutokuingiliana katika namna kila imani inavyoendesha mambo yake!
Najua pengine kibinadamu uliona aibu kutokana na mihela mirefu unayoimwaga makanisani siku hizi kwa jina la sadaka, ukahisi labda umma wa Waislamu utakuona kama mtu anayetumia mafungu yale ya urais yasiyokaguliwa na yeyote kwa ajili ya sadaka hizo, mimi nasema usihofu, maadamu wewe ni Mkatoliki na Mkiristu basi usiuonee haya Ukiristo wako wewe toa tu, Waislamu wanajiweza, wanaweza kujenga misikiti yao wao wenyewe na infact misikiti nchi hii ni mingi kwelikweli na imejengwa na Waislamu wao wenyewe!
Kuhusu misikiti iliyojengwa na Wafalme na marais, hiyo Waislamu tunajua huwa wanatafuta hao wafadhili wao wenyewe, ila sasa kwa kuwa Kiprotokali jambo linalofanywa na mfalme au rais wa Taifa moja katika jingine lazima mfalme au rais wa taifa husika awe na taarifa ndiyo maana taasisi za dini zinaweza kukujulisha ili usaidie kunyoosha mambo! Hii ni tofauti na kwenda kanisani ukaanzisha harambee ya kujenga misikiti! Ndugu Rais ulitumwa au kuombwa na Muislamu gani kutaka kujenga msikiti kupitia fedha za kanisani?
Wakati mwingine naangalia haya mambo na kuona kuwa yamekaa kisiasa. Hata hivyo mambo ya dini ni sensitive sana si vizuri kuchanganya dini na siasa! Mwalimu alionya sana kuhusu mambo haya!
Ipo namna mtu asiye muislamu anavyoweza kuguswa na kuamua kujenga msikiti, kwa mfano, Mwalimu aliguswa moyoni mwake baada ya kustaafu uraisi akaamua kutafuta fedha za kujenga Msikiti Butiama, Mwalimu alikuwa na connection za Vatican, Makanisa makubwa makubwa lakini hakwenda kutafuta fedha makanisani ili ajenge msikiti, Mwalimu alikwenda kwa Ghadafi ndiye aliyempa pesa za kujenga Msikiti huko Butiama!
Nimkumbushe tu ndugu Magufuli kuwa, dini ya Kiislamu pia imeweka misingi ya aina gani ya misikiti inafaa kuswaliwa ndani yake, Quran inasema ile misikiti iliyojengwa kwa dhamira safi ndiyo misikiti ya Mungu na ndiyo inayofaa kuswaliwa bali ile iliyojengwa kwa dhamira isiyo njema, yenye malengomalengo fulani hivi hiyo haina baraka za Mungu na haifai kuswaliwa ndani yake!
Nashauri Ndugu Rais awe makini sana na haya mambo ya dini, haya ni mazito sana, akiyakosea yataiweka heshima nzima ya taasisi ya urais rehani halafu kuja kurekebisha taswira hiyo inaweza kutumia gharama kubwa.
MAMBO YA WAISLAMU WAACHIWE WAISLAMU WENYEWE. NDUGU RAIS FANYA YALE YA IMANI YAKO AU YALE UTAKAYOOMBWA UFANYE KAMA UKIPENDA!
Ndugu rais, wewe ni Rais siyo sheikh, wewe ni Mkiristu siyo Muislamu, mambo ya Waislamu waachie Waislamu wenyewe!

Pamoja na Wakristo kulilalamikia hili but ili ionekane sio sawa then zikataeni zile pesa, zikija tu, zipigeni chini, tutaona malalamiko yenu yana maana.
Alikuwa kanisani?Wenye dini yao wala hawana tatizo na hilo suala la michango. Nchi yetu sote hii na wala sio mara ya kwanza kuchangiana ujenzi wa makanisa na misikiti. Tatizo kila jambo linachanganywa na siasa.
Ni juzi tu Joketi Mwogelo Mkuu wa Wilaya Kisarawe amechagua ujenzi wa Msikiti na Waislamu wenyewe wamechagua kuwa mlezi wa kamati ya ujenzi.
There is no way, again there is no way and never there will be mapenzi ya wakristo kwa waislamUkisoma between lines - mwandishi - Ana chuki isiyopimika dhidi ya wakatoliki.
Mwandishi anaumia sana kumuona Rais anatoa sadaka kanisani.
Hili la kuchangiana si hoja yake ya msingi. Ila imempa upenyo tu kuventi chuki yake dhidi ya wakatoliki.
Rais ni kiongozi wa nchi. Anaongoza wakristo, waislam na hata wasio na dini.
Ana jukumu la kuwaunganisha wote waishi kindugu, kuthaminiana, kuheshimiana na kusaidiana.
Mwandishi asingetumia chuki yake dhidi ya ukatoliki angeweza kuiona dhamira njema ya Rais kutuunganisha na kutufanya tuishi kitanzania - tukipendana na kushirikiana bila kujali tofauti zetu kiimani, kikabila nk.
Sisi ni WATANZANIA na ni NDUGU.
Wakipita usiwape.Mmh mbona kuna watoto huwa wanapita kuomba hela ya kujengea madrasa? Au yenyewe sio nyumba ya ibada?
ELIMU ELIMU ELIMUMambo ya ngazi kubwa kama hizi nashauri waachiwe viongozi wa Ngazi za juu ambao ndiyo wana mamlaka ya kusema kitu juu ya jambo lolote ndani ya inami zao, Masheikh na Ma-Askofu. Tusiwe tunaibuka tu sisi waumini kisa tuna access na mitandoa ya jamii
Kwani harambee hiyo ameifanya wakiwa wapi, Ikulu? Hivi mtu ukishakuwa Rais haki yako kama muumini wa dhehebu fulani inapotea? Sikumbuki vizuri lakini nadhani kuna kipindi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda, aliwahi kupata fedha fulani kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti hapa Dar es Salaam. Kama sikosei Mh. Makonda naye pia ni mkristo, na jambo hilo lilipokewa vizuri sana na watanzania wote kwa ujumla, naamini hivyo