Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Chuo ndio msikt?


Vitu viwili tofaut kabisa
Ujenzi wa misikiti tunachangia kila siku huko mitaani.

Msikiti wa Kunduchi umechangiwa na wanunuzi wa samaki bila kujali dini zao waliokuwa wanaletewa fomu za mchango daily!
 
Ingekuwa rais kawaambia baba askofu na waumini wake wachukue mchanga,kokoto,simenti,mabati,rangi halafu waende kwa ndugu zao waislam waujenge huo msikiti Wala tusingesikia kelele Wala migongano..

Nilichogundua hapa Ni huo mchango kuwa pesa watu wanaona wamedharauliwa au Ni aibu kwa dini Fulani...


Ewe ndugu pesa isiitawale nafsi mpk ikapelekea kuingia kwenye dhambi
 
Nimesoma hadi mwisho sijaruka kipengele chochote, japo sikujua kinachoendelea lakini umeelezea vizuri nikapata mwanga,

Binafsi nakazia kwa msumari yote uliyoyaandika, Dini isichanganywe na Siasa.
Mambo ya ngazi kubwa kama hizi nashauri waachiwe viongozi wa Ngazi za juu ambao ndiyo wana mamlaka ya kusema kitu juu ya jambo lolote ndani ya inami zao, Masheikh na Ma-Askofu. Tusiwe tunaibuka tu sisi waumini kisa tuna access na mitandoa ya jamii
Kwani harambee hiyo ameifanya wakiwa wapi, Ikulu? Hivi mtu ukishakuwa Rais haki yako kama muumini wa dhehebu fulani inapotea?

Sikumbuki vizuri lakini nadhani kuna kipindi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda, aliwahi kupata fedha fulani kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti hapa Dar es Salaam.

Kama sikosei Mh. Makonda naye pia ni mkristo, na jambo hilo lilipokewa vizuri sana na watanzania wote kwa ujumla, naamini hivyo
 
Quod scripsi, cripsi ...John 19:22 "what i have written, i have written"

What u going to do about it?[emoji3][emoji3]


.
 
Pamoja na Wakristo kulilalamikia hili but ili ionekane sio sawa then zikataeni zile pesa, zikija tu, zipigeni chini, tutaona malalamiko yenu yana maana.
 
Wanadai wamefanya makubwa, wamefanya siasa miaka mitano peke yao lakini bado wanawazuia wanahabar kuripoti habari za wapinzani. Ukweli haujifichi utafanya propaganda lakini watu kama hawakupendi hawakupendi tu
 
Alikuwa kanisani?
 
There is no way, again there is no way and never there will be mapenzi ya wakristo kwa waislam

Qur an imeshasema zamani sana mambo haya.

Walipofikia waislam wa Tanzania moja ya chanzo ni chuki ya wakristo hususan wakatoliki dhidi ya waislam.

Mengi sana yashasemwa juu ya hili na hakuna na hakutokuwepo mapenzi haya yanayoonyeshwa isipokuwa ni jambo/mambo tu yanafanywa kwa maslahi flani
 
ELIMU ELIMU ELIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…