Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Hivi JPM si angeenda huko msikitini kukusanya hiyo harambee.

Sifa za kijinga hizi.
Jamaa muoga sn...... Badala ya kutekeleza hoja za msingi za waislamu km alivoziainisha sheikh ponda yy anafanya mambo ya hovyo kabisa
 
Yaani unavyoandika ni kana kwamba wasio waislam ndio wanauendesha uislam hapa Tanzania kumbe uhalisia ni tofauti.

Eti kuvuja kwa pakacha.

Kwa shilingi Mia mbili yako uliyotoa (kama hata ulitoa) maana kwa chuki uliyonayo si ajabu pia ulisema huyu mvua kipedo nae vipi???

Nliwahi kumnukuu Pascal Mayalla humu akionyesha chuki zake dhidi ya uislam na waislam.

Hii nchi imeoza
 
Mkuu,

Mimi si msomi wa biblia ila ninajua kwamba biblia imejumuisha zaidi ya zaburi injili na tauraat. Na najua kwamba wakristo wanaongozwa na kitabu kiitwacho biblia iwe ni agano la kale au agano jipya kwa hiyo si sawa kuwajumuisha kama ni ahlul kitaab.

Gavana
Jurjani
 
Hela ya kitimoto imeenda kujenga msikiti,safi sanaa
Na hapo ndo rais wetu anaposhindwa kujua tofauti ya dini na siasa. Amekuwa akijionesha kuipenda sana dini lakini pia aelewe theology siyo kitu cha kurukia kama yeye alivyorukia siasa. Nimekuwa nikiuliza; kama kweli ni mwema hivyo, kwa nini hachangishi wana CCM ili wawasaidie TLP, DP, nk?
 
Kuna Ule Msikiti Pale Morogoro Uliojengwa Na IGP Mstaafu Omary Mahita, Uligomewa Kutumiwa Na Waislam Kisa Haufuata Taratibu Zozote
Yaani Alijenga Kwa Fedha Zake Waislam Waligoma.
 
Swali fikirish sanaa mkuu,mazingira ya kulitumia kanisa kuchangia ujenz wa msikiti amepotoka mnoo,n vzur ingekuwa muktadha tofaut ine sense,kutaka kujifanya we n mtu unaetaka kubalance masuala ya kidin kwa kufanya michango inafanya kumuaribia zaid cz hata waliochanga hawakuwa na moyo w kuchangia sema kwa vile rais kasema
 
Ili kuli-adress inabidi hizo issues ambazo zinaonesha chuki ziwe outlined.
Sasa hizo issues zinazoonesha chuki ni zipi?
Tukianza kuzilist hapa mkuu wangu tutakesha.

Wewe unazijua na mimi nazijua.

(1) unaikumbuka kesi ya yesu sio mungu ya Morogoro??
(2) mauaji ya mwembechai
(3) waislam kufelishwa kwa maksudi kulikopelekea ndalichako kuondolewa NECTA
(4) Ajira na teuzi kutolewa kwa mlongo wa kidini??
(5) upigwaji marufuku wanafunzi wa kiislam kuvaa hijaab
(6) Mauaji ya Pemba 2001
(7) ukamatwaji na unyimwaji dhamani wa masheikh mbali mbali nchini???
(8) Kuondolewa kwa maksudi kwa EAMWS ndani ya Tanzania
(9) Kuanzishwa kwa BAKWATA na serikali
(10) Mkakati maalum wa kufuta mchango wa waislam katika mapigano ya uhuru wa Tanganyika

The list goes on mkuu wangu
 
Katika mambo yanayorudisha nyuma afrika na Tanzania yetu ni ubaguzi wa kidini...... magufuli ana nia njema ya kuondoa ubaguzi wa kidini nchini ili tusonge mbele kitaifa....
 


Mimi siwezi kuwa na chuki na mtu yeyote Eti sababu dini yake na yangu tofauti hiyo hapana!

Nimejifunza upendo kwa watu wote waloumbwa na Mwenyezi Mungu sababu kwa kufanya hivyo namheshimu aliyewaumba ambaye ni Mungu!

Kwanza mimi mzazi wangu mmoja ni Muislam kwa taarifa yako!

Mimi bado naamini waislam waelewa wapo wengi Ila kuna kundi fulani Ndiyo linataka ubaguzi wa kidini!

Sijui kwanini mnapenda kujiona watakatifu wakati mna yenu kibao [emoji108]

Aso hili ana lile!

Mtu anaweza kuwa hanywi pombe au hali nguruwe n.k lakini mshirikina mkubwa, mchawi, mfuga majini, mzinzi n.k

Siyo siri uzi huu nimejifunza kitu!
 
Kuna Ule Msikiti Pale Morogoro Uliojengwa Na IGP Mstaafu Omary Mahita, Uligomewa Kutumiwa Na Waislam Kisa Haufuata Taratibu Zozote
Yaani Alijenga Kwa Fedha Zake Waislam Waligoma.
Mbona kuna kipindi fulani niliwahi kupitia maeneo yale nikakuta unatumika!? Au waendao kuswali kwenye msikiti huo si waisalaamu! Sijapita siku nyingi! Yawezekana umefungwa siku hizi.
 
Mbona kuna kipindi fulani niliwahi kupitia maeneo yale nikakuta unatumika!? Au waendao kuswali kwenye msikiti huo si waisalaamu! Sijapita siku nyingi! Yawezekana umefungwa siku hizi.
Ni Baada Ya Mazungumzo Marefu, Ila Ulipojengwa Tu
Uligomewa Kutumiwa.
 
atakuwa katumwa na shehe mkuu, siku hizi wanaambata nye kwenye kila shughuli, Waislamu siku hizi wamekuwa wtofauti sana
 
Majengo ya chuo cha kiislam morogoro ni Mali ya Tanesco. Tanesco ya watanzania wote... acha uzuzu wewe


Sasa wakristo wangekuwa wakorofi si wangekuja juu nao au wangedai na wangesema nao wapewe chao?!
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anasambaza Upendo Kwa Watu Wote
Waliomchagua Ni Wote!!!
 
Wakristo 'tungekiwasha' na huenda hata huko Ikulu Kwake aliko angepaona ni pachungu. Wakristo siyo Watu wa 'Kupelekeshwa' kama 'Majuha' tu.

Kwanza humu JF pangechimbika.

Pili makanisa ya watu kama Gwajima yangegeuza somo maalum

Kisha nyaraka za kichungaji zingefuata mfululizo!
 
Siku mkikikataa chuo kikuu cha MUM ndio ntaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…