Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Atazindua kila kitu mwaka huu, nani alimwambia atamke yale maneno yake ya kichochezi dhidi ya Lissu
 
Hahah
WAKATI WA UJANA TUKIENDAA KUPIGA KINYWAJI UNAMPA MSHIKAJI WAKO HERA ALAFU UNAMWAMBIA WE NDO UTAKUWA UNACLEAR BILL OKEY
Hahahaa hivyo hivy. Au wakati wa kutoa zawaidi washkaji unawapa vitu vyako vya ndani kwa sharti ya kurejesha baada ya tamasha.
 
DINI SIO CHUMO LA HARAMU, chumo la Haramu ndyo haiswih kujengea Msikiti
 
Unakula nyama halafu mchuzi unamwaga eti unashombo mbaya
 
Wakristo hatunaga nongwa ....ila hawa waarabu koko shida sana.
 
Vitu vingi unavyoviona kwenye Tv ni vya kupangwa. Hata michango ni ya waumini vipenyo. Madhumuni ni kusaka kura. Na msikiti utajengwa tu.
 
Mbona msikiti wa Bakwata kinondoni Paul Makonda alichangia na ni mkristo?

Chadema wapendeni waislamu bhana!
Msikiti wa Kanisa huo kwenda kuchngisha msikitini hakuna noma lakini kuwachngisha kanisani sadaka kwa ajili ya msikiti....this is too much.
 
Mzeee jiwe ana wasaidizi wengi kinoma karibu nusu ya waliohudhuria kanisani walikuwa wasaidizi wake na ndio waliyokuwa wanachangia achia mbali wasaidizi ambao wameficha vyeo vyao
Wananchi WA Chwamwino ni masikini Sana Hawana uwezo wa kutoa hizo Millions.... Chwamwino Kuna omba omba wengi Sana. I think they should stop doing all these dramas
 
Shosti mi mwenyewe nimepigwa butwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…