Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
OkMimi huwa nasikiliza kile ambacho mtu anasema, huwa siangalii mtu kwanza halafu ndiyo niamue kumsikiliza au kutomsikiliza. Huwa nasikiliza kwanza bila kujali kimetoka kwa nani. Hata wewe pia naweza kukusikiliza. Hekima iko midomoni mwa watu, na si kwenye umardidadi wa maumbile yao