Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

Kajikundi kiduchu cha jana pale Kisutu kimesambaratishwa na polisi watano!
Alafu ndiyo wathubutu kuandamana!parthetic
Masikini, hata hesabu hujui, ati polisi watano, elimu elimu elimu
 
ETI KUZIMUA,,,wee jamaa wee umenichekeshaaa..mungu anakuonaa aisee

Sasa mkuu, tuiteje pale kunapofanyika harakati za kuzindua kitu kilichopo tayari. Mimi naona huko tukuite kuzimua miradi.
 
Reactions: exo
Pombe ukinywa mara ya kwanza unaizindua.... Ukirudia kesho yake unazimua.. Hii muzuli sana..
Mkingona kwa mara ya kwanza mnazindua penzi.... Baada ya hapo ni kuzimua tu makinikia
 
Hivyo vinavyozinduliwa havipo au??
 
Vitu vinapangwa kwa ustadi na weledi wa hali ya juu,huwezi amini,tarehe 22-26 kutakuwa na matukio makubwa tu ambayo yatawasahaulisha kabisa waandaa maandamano!!
Keep watching,,,,,,
,watu wazindue miradi ya kutuletea maendeleo,nyinyi maandamano si mumeyafanya mradi?!
 
Eti rais anatoa pesa elimu ni kitu cha msingi sana.

Mkuu msamehe bure huyo ni mwana kijani na si unawajua akili zao. Ok nami nimenunua ka techno F5 nahitaji uzinduzi mana mtoa pesa ni yeye nami nimepata kupitia mshahara
 
Itabidi tuache kufanya na kazi tujadili vipigo na vifo vya hiyo tareh 24 au sio??
 
Mbona tangu zaman anazindua ovyoovyo
Ni sababu anaproject nyingi sana
 
Hebu tueleze kasi inapunguaje kukiwa na uzinduzi wa miradi ya maendeleo na kabla ya hapo maandamano yalikuwa na kasi ya kiasi gani. Acheni ubazoka na akiri za mtoto wa kunyonya kila wakati mnatafuta sifa za kutunga chadema utoto mtaacha lini chadema is nothing na haina lolote na hata hayo maandamano wewe mwenyewe hutathubutu kwenda mabingwa wa mitandaoni mmejaa ushuzi mtupu kamsalimie mbowe sasa hivi hana dili tena
 
Mwanaume unapokuwa na wivu ni aibu sana,kwani miradi kuzinduliwa wewe unawashwa makalio!!!Chadema naona hamna ajenda nzuri na nchi yetu!!!
 
Mimi kuandamana lazima ata sasa hivi niko kwa road hapa ubungo.
 
Yaani kugawanyika kuandikia maandamano kwa lugha tofauti tofauti. Mwanaume halisi hajifichi fichi kuongea. Sema unataka kuandamana full stop. Kwa ishara hii naonja hauko serious ni mshabiki kama Yanga na Simba. Endelea kupiga tarumbeta lakini mabao utafungwa na selo utaenda.
 
Raisi yeye ndo anatoa pesa?kweli ww jamaa noma kodi ya wananchi unasema pesa ya raisi.....hivi bado unakula kwa baba na mama?
 
Inaonekana ikulu hakuna kaz za kufanya.

Haiwezekan rais mzima unang'ang'ania kufanya kaz za mawaziti utafikiri wameomba msaada wake.

Huyu rais wenu hajitambui
 
MTU anapata wapi nafasi ya kuhamasisha vurugu na sio maandamano na hana nafasi yoyote uko serikalini afu yupo nje,hii ikoje ,si alogwe tu uko uko atumiwe jini,likamalize kazi au inchi haina kamati ya ufundi,mbona kuna kitengo za Tiba za jadi hapa inchini,wanalisaidiaje taifa hao wazee kwa kazi zao za jadi,mbona wanaweza kumrudisha mtu aliye potea siku nyingi au mwizi au kufungua kufuli hata kama limefungwa,du niwe mpole,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…