Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
Masikini, hata hesabu hujui, ati polisi watano, elimu elimu elimuKajikundi kiduchu cha jana pale Kisutu kimesambaratishwa na polisi watano!
Alafu ndiyo wathubutu kuandamana!parthetic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini, hata hesabu hujui, ati polisi watano, elimu elimu elimuKajikundi kiduchu cha jana pale Kisutu kimesambaratishwa na polisi watano!
Alafu ndiyo wathubutu kuandamana!parthetic
ETI KUZIMUA,,,wee jamaa wee umenichekeshaaa..mungu anakuonaa aisee
Pombe ukinywa mara ya kwanza unaizindua.... Ukirudia kesho yake unazimua.. Hii muzuli sana..Hello,
Pengine anayeelewa zaidi maana ya neno Kuzindua anisaidie. Nimekuwa nikifuatitia kwa uakribu sana pale kunapotangazwa kwamba kuna kuzindua mradi. Ninachotaka kufahamu, ni nini maana ya kuzindua miradi ambayo tayari imekuwa ikifanya kazi miaka mingi.
Kwa vyoyote vile, lazima kutakuwa na sababu za maana za kufanya haya matukio kwenye miradi inayoendelea. Lakini ninaomba, wale watangazaji pengine wajaribu kutofautisha ili tufahamu ni wakati gani kuna kuzindua kitu kipya au kufanya fanya hizo shughuli kwa kitu kilichopo tayari.
Ili tuweze kutofautisha, ninashauri neno Kuzindua,litumikwe kwenye miradi mipya. Lakini kwenye miradi endelevu, watumie neno "KUZIMUA MIRADI".
Ni hilo tu.
,watu wazindue miradi ya kutuletea maendeleo,nyinyi maandamano si mumeyafanya mradi?!Vitu vinapangwa kwa ustadi na weledi wa hali ya juu,huwezi amini,tarehe 22-26 kutakuwa na matukio makubwa tu ambayo yatawasahaulisha kabisa waandaa maandamano!!
Keep watching,,,,,,
Eti rais anatoa pesa elimu ni kitu cha msingi sana.
Pazia hufunuliwa.Vitu vinapangwa kwa ustadi na weledi wa hali ya juu,huwezi amini,tarehe 22-26 kutakuwa na matukio makubwa tu ambayo yatawasahaulisha kabisa waandaa maandamano!!
Keep watching,,,,,,
Mbona tangu zaman anazindua ovyoovyoRais Magufuli naona yuko busy na uzinduzi Mara baada ya Da Mange kuhamasisha maandamano ya amani ya kupinga mambo ya ovyo yanayoendelea nchini chini ya utawala wa Magufuli
Baada ya kutishika na maandamano akaanza kufanya uzinduzi wa vitu ambavyo vilishazinduliwa ili mradi tu kuwahadaa watanzania kwamba serikali inafanya mambo mazuri hivyo msiandamane kuipinga
[emoji117]kazindua barabara ya zamani huko kahama
[emoji117] Akazindua SGR Dodoma
[emoji117] Akazindua tawi la bank Crdb Chato na Dom
[emoji117] Akazindua Rada na mapangaboi(Bombadia)
[emoji117] Akazindua mradi wa zamani wa Kinyerezi wa kufua umeme wa gesi
[emoji117] Akazindua kakiwanda ka juice ka Sayona Mwanza
[emoji117] Akazindua kakiwanda ka zamani ka Dawa
[emoji117] Na sasa anataka kuzindua kiukuta cha kuzunguka mererani
Ujue kuna vitu vingine vinatia aibu kuzindua vitu vidogo ambavyo waziri husika angeweza kwenda kuzindua mfano hii ya kuzindua ukuta
Lakini naona zindua zindua hii ni janja ya kuwapumbaza wajinga ili kupooza nguvu ya maandamano.
Ova.
Sasa ukishaakufa then whatUeni halafu muone, kutakuwa na sporadic ambush ambazo watu wataanza ishi na wasiwasi
Hebu tueleze kasi inapunguaje kukiwa na uzinduzi wa miradi ya maendeleo na kabla ya hapo maandamano yalikuwa na kasi ya kiasi gani. Acheni ubazoka na akiri za mtoto wa kunyonya kila wakati mnatafuta sifa za kutunga chadema utoto mtaacha lini chadema is nothing na haina lolote na hata hayo maandamano wewe mwenyewe hutathubutu kwenda mabingwa wa mitandaoni mmejaa ushuzi mtupu kamsalimie mbowe sasa hivi hana dili tenaRais Magufuli naona yuko busy na uzinduzi Mara baada ya Da Mange kuhamasisha maandamano ya amani ya kupinga mambo ya ovyo yanayoendelea nchini chini ya utawala wa Magufuli
Baada ya kutishika na maandamano akaanza kufanya uzinduzi wa vitu ambavyo vilishazinduliwa ili mradi tu kuwahadaa watanzania kwamba serikali inafanya mambo mazuri hivyo msiandamane kuipinga
[emoji117]kazindua barabara ya zamani huko kahama
[emoji117] Akazindua SGR Dodoma
[emoji117] Akazindua tawi la bank Crdb Chato na Dom
[emoji117] Akazindua Rada na mapangaboi(Bombadia)
[emoji117] Akazindua mradi wa zamani wa Kinyerezi wa kufua umeme wa gesi
[emoji117] Akazindua kakiwanda ka juice ka Sayona Mwanza
[emoji117] Akazindua kakiwanda ka zamani ka Dawa
[emoji117] Na sasa anataka kuzindua kiukuta cha kuzunguka mererani
Ujue kuna vitu vingine vinatia aibu kuzindua vitu vidogo ambavyo waziri husika angeweza kwenda kuzindua mfano hii ya kuzindua ukuta
Lakini naona zindua zindua hii ni janja ya kuwapumbaza wajinga ili kupooza nguvu ya maandamano.
Ova.
Kweli kabisa au wakapanga kitu chochote tu
Raisi yeye ndo anatoa pesa?kweli ww jamaa noma kodi ya wananchi unasema pesa ya raisi.....hivi bado unakula kwa baba na mama?Acheni uchizi. Mnajitekenyeka na kucheka wenyewe.
Hivi huyo mlopokaji wa mitandaoni mnadhani ni mtu mkubwa sana kiasi kwamba anaweza tisha dola.
Subirini muone kama sisimizi au nzi atathubutu kuandamana.
Ninyi endeleeni kupiga yowe Rais atazindua kila kitu yeye si ndo anatoa pesa.