Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

Raisi mchapakazi nzalendo wa kweli nakipenzi cha walio wengi asante kwa mega watts nyingine ila nitafurahi zaidi tukipata zile 2000 pale selou
Unajuwa hata bei ya unit moja ni bei gani kwa Tanesco vendors?

Hicho ndio kipimo cha akili kama kichwani una ubongo au wamejaa fungus tu.
 
Simplemind! Wacha ngonjera huo mradi wa Kinyerezi 2 utatoa 50% more energy? Tuache kuchanganya watu bei ya Megawati Moja kwa Mitambo ya Kinyerezi 2 yenye uwezo wa kutoa Megawati 240 theoretically gharama yake ni USD 1,430,000 kwa Megawati moja ni hilo ndilo tatizo. Mradi imekuja kutekelezwa bila ushindani ina maana SUMITOMO walikuja na package kwa utaratibu wa EPC plus financing jambo liliopelekea kupigwa wakati kama kungekuwepo na competitive bidding bei ingeweza kuwa hadi USD 1,000,000 kwa Megawati moja. Hiyo Feasibility Study ya Kinyerezi 2 kama ipo I bet my neck na ninyongwe pale National Studium tarehe 1/5/2018. Hiyo ndio hoja kwanza hujaweka gharama ya kupata maji for the combined cycle which is more complex kwa wengi hapa Jamii Forum kuelewa . Base your argument on those lines za kupigwa na mafisadi from within CCM kuwatetea na 50% which is untrue for Kinyerezi 2. You cant cheat everybody kwa kuleta ngonjera !
 


Halafu alipomaliza Kalemani akaja mzee mwenyewe Magufuli, akaanza kuongelea Kinyerezi 3, anadai fedha zipo hata sasa hivi wakimaliza kujenga anawalipa. Again, uongo mtupu, kama hela ipo lipa basi hii 85% uliyokopa Sumitomo Bank kwa Kinyerezi Two ili tusilipe riba tuanze kutafuta hela ya Kinyerezi bila madeni ya nyuma. Simple common sense!
 
Gesi imetoka mtwara kuja dar na kuchakatwa kuwa umeme kisha kurudisha mtwara tena
 


Haiwezekani hata kidogo ikawepo feasibility study iliyofanywa, I agree.

Kwanza Magufuli kasema hataki kusikia mradi unacheleweshwa kwa vile eti kibali cha mazingira kimekwama! Ina maana hataki mambo ya ma feasibility study. Huyo ni mtu ambae haoni kwamba raia wanaweza kufa kwa maamuzi yake.

Kasema leo mwenye uwezo wa ku invest kwenye nuclear energy aje afue umeme. Hapo hapo anakwambia hataki mradi uchelewe kwa kukosa kibali cha mazingira au cha Tanroads, kwamba wakipitisha Uranium barabarani sawa, wakichimba ovyo ikaingia kwenye mito sawa, kwenye hewa sawa! Hapo hamjafa na radioactive poisoning mikoa yenye Uranium production?
 

Kwahiyo unasema mradi ni USD 344,000,000 na zimepigwa USD 100,000,000. Kwa maana hiyo mradi ni ulikuwa USD 244,000,000. Tunaomba justification ya huo mradi kuonyesha kuwa huo mradi ulikuwa USD 244,000,000 na siyo USD 344,000,000, angalau kwa quote mradi wa nchi nyingine unaofanana na huo ama kukaribiana na tuone wao walitumia shilling ngapi. Bila hivyo, sifkri kama kutaja namba tu bila facts zinaweza justify unachoongea.
 

Do your home work mmezoea spoon feeding na kudesa tangu chekechea those are the figures waachie wenye kujua wafanye logical arguments sasa kama wote ni Mazuzu kuanzia TANESCO hadi Wizara na Ikulu I can’t do anything more ni info and info is power dadavua au the best option ni kukenua meno na kucheza mdumange au siju Chakulaga anywhere it would do! Cheers !
 

You have got nothing to share, nothing less nothing more. Nimekuomba tu kitu basic kabisa u disclose, kwamba umejua je tumepigwa $100,100,100? in relation to what as per regard. Unakuja na matusi mengii.
 
tr
True
 
Kuhusu maji for combined cycle zingatia steam turbines operate in closed cycle mode ,steam from turbine is condensed and fed back to the boiler ( heat recovery unit).Sea water can be used as cooling stream.
 
Anapenda uzinduzi huyu jamaa hivi hii ndio kilichompeleka ikulu jamani au ndio mambo ya kupenda kuuza sura

Huenda ni janja ya kuwafanya wananchi wasijadili kuhusu kuwekwa ndani hadi kula pasaka wakiwa ndani leo ndo ungekuwa mjadala mkubwa
Sasa badala ya kwenda Bandarini wameenda huko kinyelezi sijui wapi!
Halima Kumbe alikuwa anatoka hospital SA kutibiwa maskini!
 
Hongera sana!
Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwangu!
 
Anasikitisha sana huyu mhutu
 
Rais Magufuli naona yuko busy na uzinduzi Mara baada ya Da Mange kuhamasisha maandamano ya amani ya kupinga mambo ya ovyo yanayoendelea nchini chini ya utawala wa Magufuli

Baada ya kutishika na maandamano akaanza kufanya uzinduzi wa vitu ambavyo vilishazinduliwa ili mradi tu kuwahadaa watanzania kwamba serikali inafanya mambo mazuri hivyo msiandamane kuipinga

[emoji117]kazindua barabara ya zamani huko kahama
[emoji117] Akazindua SGR Dodoma

[emoji117] Akazindua tawi la bank Crdb Chato na Dom

[emoji117] Akazindua Rada na mapangaboi(Bombadia)

[emoji117] Akazindua mradi wa zamani wa Kinyerezi wa kufua umeme wa gesi

[emoji117] Akazindua kakiwanda ka juice ka Sayona Mwanza

[emoji117] Akazindua kakiwanda ka zamani ka Dawa

[emoji117] Na sasa anataka kuzindua kiukuta cha kuzunguka mererani

Ujue kuna vitu vingine vinatia aibu kuzindua vitu vidogo ambavyo waziri husika angeweza kwenda kuzindua mfano hii ya kuzindua ukuta

Lakini naona zindua zindua hii ni janja ya kuwapumbaza wajinga ili kupooza nguvu ya maandamano.

Ova.
 
Mpka Ukuta du sijawahi Ona nasubiria kwa Trump nae ule ukuta wake ukishaisha kama ataenda kuzindua.
 
Vitu vinapangwa kwa ustadi na weledi wa hali ya juu,huwezi amini,tarehe 22-26 kutakuwa na matukio makubwa tu ambayo yatawasahaulisha kabisa waandaa maandamano!!
Keep watching,,,,,,
 
Hello,

Pengine anayeelewa zaidi maana ya neno Kuzindua anisaidie. Nimekuwa nikifuatitia kwa uakribu sana pale kunapotangazwa kwamba kuna kuzindua mradi. Ninachotaka kufahamu, ni nini maana ya kuzindua miradi ambayo tayari imekuwa ikifanya kazi miaka mingi.

Kwa vyoyote vile, lazima kutakuwa na sababu za maana za kufanya haya matukio kwenye miradi inayoendelea. Lakini ninaomba, wale watangazaji pengine wajaribu kutofautisha ili tufahamu ni wakati gani kuna kuzindua kitu kipya au kufanya fanya hizo shughuli kwa kitu kilichopo tayari.

Ili tuweze kutofautisha, ninashauri neno Kuzindua,litumikwe kwenye miradi mipya. Lakini kwenye miradi endelevu, watumie neno "KUZIMUA MIRADI".

Ni hilo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…