Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unajuwa hata bei ya unit moja ni bei gani kwa Tanesco vendors?Raisi mchapakazi nzalendo wa kweli nakipenzi cha walio wengi asante kwa mega watts nyingine ila nitafurahi zaidi tukipata zile 2000 pale selou
Hicho ndio kipimo cha akili kama kichwani una ubongo au wamejaa fungus tu.