Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam.

Tukio liko mubashara katika runinga zote

Updates;

Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais kukushukuru sana kabla ya mkutano huu wa hadhara umetupa heshima ya kuzindua Magic FM Radio pamoja na Uhuru FM pamoja na TV ya channel 10, Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana kwa heshima hiyo ya kutuzindulia vyombo hivi vya habari

Nitumie nafasi hii kuwashukuru sana chama changu cha mapinduzi kwa uwekezaji huu mzuri ambao utatoa ajira, utawahabarisha watanzania, tunawapongeza sana.

Vyama vingine hapa nchini tumeona vikiwekeza kwenye kuwa vibaraka wa nchi fulani, kwenye majungu, kejeli na matusi lakini chama cha mapinduzi kinawekeza katika maendeleo ya watu na kutengeneza ajira, hongereni sana chama cha mapinduzi.
Hiyo Michungwa huenda ina uwendawazimu wa aina fulani. Wendawazimu wamepewa nafasi ya kuwaongoza wenye akili timamu.
 
Nimemsikia akisema Jiji la Ilala Dsm Hoyee!!!!
 
Wizara ya afya leo si imekataza mikusanyiko?
Kisha wanafunzi wa Yohane Mbatizaji walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Sisi na Mafarisayo hufunga mara nyingi; mbona wanafunzi wako hawafungi?” Yesu akawajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kuomboleza wakati bwana arusi yupo pamoja nao? La, hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.
 
"Imefikia wakati watanzania tunaombeana kufa, ni upendo wa ajabu" aliwaambia waandishi wa habari
 
Mzee wa kuwakusanya.[emoji16][emoji16].
Kanuni ni Ile Ile UKIFA UNAZIKWA TUNAENDELEA NA MAISHA.
 
Waziri was michezo na HABARI, wanamacho lakini hawaoni
Huyu waziri wa michezo na habari. Bashungwa anafanya nini kwenye Mambo haya ambayo hayamuhusu kwa namna yeyote ile!? Jana kwenye uzinduzi wa darala la kizaji alikuwepo..kwenye uzinduzi wa stand ya magufuli alikuwepo..haya yanauhusiano vipi na michezo ..ama anaenda Kama waziri wa habari!?
 
Unaniangusha Ndugu hasa hapo ulipoandika neno hilo la mwisho la Kiingereza kwani huwa haliandikwi kwa Kuachanishwa hivyo. Lirekebishe upesi tafadhali.
Mkuu vitu vidogo hivi usicomplicate..what matters the contents...we hizi hbr ulikuwa unazijua?
 
Nimemsikia akisema "Mungu libariki jiji jipya la Dar es salaam Ilala" kumbe ni Dar es Salaam Ilala
 
Huyu Mama anamchezea namna hii kiongozi!!!!
1614245342162.png
 
Hivyo viwanja vibadilishwe jina wavipe jina lake.pia soko la kisutu
 
Back
Top Bottom