Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

Hiyo Michungwa huenda ina uwendawazimu wa aina fulani. Wendawazimu wamepewa nafasi ya kuwaongoza wenye akili timamu.
 
Nimemsikia akisema Jiji la Ilala Dsm Hoyee!!!!
 
Wizara ya afya leo si imekataza mikusanyiko?
Kisha wanafunzi wa Yohane Mbatizaji walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Sisi na Mafarisayo hufunga mara nyingi; mbona wanafunzi wako hawafungi?” Yesu akawajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kuomboleza wakati bwana arusi yupo pamoja nao? La, hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.
 
"Imefikia wakati watanzania tunaombeana kufa, ni upendo wa ajabu" aliwaambia waandishi wa habari
 
Mzee wa kuwakusanya.[emoji16][emoji16].
Kanuni ni Ile Ile UKIFA UNAZIKWA TUNAENDELEA NA MAISHA.
 
Waziri was michezo na HABARI, wanamacho lakini hawaoni
 
Unaniangusha Ndugu hasa hapo ulipoandika neno hilo la mwisho la Kiingereza kwani huwa haliandikwi kwa Kuachanishwa hivyo. Lirekebishe upesi tafadhali.
Mkuu vitu vidogo hivi usicomplicate..what matters the contents...we hizi hbr ulikuwa unazijua?
 
Nimemsikia akisema "Mungu libariki jiji jipya la Dar es salaam Ilala" kumbe ni Dar es Salaam Ilala
 
Huyu Mama anamchezea namna hii kiongozi!!!!
 
Nani alijimilikisha Channel 10!!!
 
Hivyo viwanja vibadilishwe jina wavipe jina lake.pia soko la kisutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…