Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

Mkuu usitishwe na wingi.nchi hii Ina watu 55 milioni Ila walipakodi hawafiki milioni tatu according to Magu,Sasa wewe hapo unaelewa nini? Lakini pia umeambiwa ni watu wa stendi ya ubungo,madereva,makonda na wapiga debe Sasa hapo unauliza akili!
Kwahiyo hao ndio hawana akili? Kwahiyo Mnyika na Kubenea wanatawala watu wasio na akili?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta popote ninaposupport Mbowe kuwa kiongozi wa cdm zaidi ya miaka kumi. Na sio Mbowe tu, tafuta popote ninapounga mkono kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya 10yrs, ukipapata uje tuendelee na mjadala.
Sasa si uanzishe vuguvugu la kumtoa hapo chamani

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unataka kuja kunikamata nilipo? Ili nisije kufa kwa stress za kuhofia unanitafuta
Utakufa na stress kwa kumchukia Rais wakati yeye anadunda tu kama una uwezo mfuate Magogoni uone cha mtema kuni.
 
Sasa si uanzishe vuguvugu la kumtoa hapo chamani

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app

Mimi sio mwanachama wa cdm wala mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali shabiki wa kutupwa wa cdm. Wanachama ndio wana haki ya kumuweka na kumtoa kiongozi yoyote. Usinipe jukumu liko nje ya uwezo wangu.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James kuhusu changamoto ya Usafiri wa Bajaji aliyokuwa akiomba kupewa ili imsaidie kuendesha familia yake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi kumchangia mama huyo kiasi cha Shilingi Milioni 3.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5. kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makore

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara baada ya kuzungumza na Wananchi.

PICHA NA IKULU
Huyu ni "Comforter in Chief" anawajibika kufanya hivyo, ila tu isiwe ni kwa ajili ya kiki na kampeni za uraisi. Ni lazima amaainishe kutoka moyoni na rohoni kwake, na pia aendelee kufanya hivyo bila ya kutaka "public attention" ili thawabu yake ikapate kupokelewa mbinguni.
 
Mimi sio mwanachama wa cdm wala mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali shabiki wa kutupwa wa cdm. Wanachama ndio wana haki ya kumuweka na kumtoa kiongozi yoyote. Usinipe jukumu liko nje ya uwezo wangu.
Basi vumilia maumivu wanachama ndio wanaamua mwenyekiti awe nani! Wewe shabiki tu kumbe.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Majority are folly.
Habari wadau

Leo nilikuwepo ubungo stendi ya mkoa wakati magu anapita.. nilishangaa sana kuona wakatisha tiketi na madalali wa mabus ubungo wanaacha kazi zao za kutafuta hela na kutoka nje ya stendi na kuanza kumshangilia magu..

Sijawai kuona CCM ikishangiliwa hivi na vijana maskini maisha yangu yote... najuaga ccm ni wazee tu..

Ukweli kikwete na mkapa mlituangusha wa Tanzania.. nakumbuka mlikuwa hadi mnapigwa mawe na wananchi..

Fikiria wananchi wanachoka mpaka kurushia mawe msafara wa Rais bila kuogopa jela.

Ila leo rais wa CCM anasimama sehemu korofi kama ubungo na anashangiliwa na wauza maji, wapiga debe, hii ni aibu kubwa

Rais wa CCM zamani asimame ubungo kweli bila uoga wa kupigwa mawe.

Nasubiri kwa hamu kumuona Magu akienda kariakoo , Temeke, Tandale, kuona atapokelewaje.. ila hii ya Ubungo imenifanya nikubali Wananchi maskini wanampenda Magu
 
Back
Top Bottom