Kwahiyo hao ndio hawana akili? Kwahiyo Mnyika na Kubenea wanatawala watu wasio na akili?Mkuu usitishwe na wingi.nchi hii Ina watu 55 milioni Ila walipakodi hawafiki milioni tatu according to Magu,Sasa wewe hapo unaelewa nini? Lakini pia umeambiwa ni watu wa stendi ya ubungo,madereva,makonda na wapiga debe Sasa hapo unauliza akili!
Sawa. Wacha kulialia sasa kama katoto kalikokosa lawalawa.Basi ajiandae kizirudisha zote baada ya mwaka 2025.
Sasa si uanzishe vuguvugu la kumtoa hapo chamaniTafuta popote ninaposupport Mbowe kuwa kiongozi wa cdm zaidi ya miaka kumi. Na sio Mbowe tu, tafuta popote ninapounga mkono kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya 10yrs, ukipapata uje tuendelee na mjadala.
Sasa si uwambie viongozi wako msishiriki uchaguzi?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mkuu unataka kuja kunikamata nilipo? Ili nisije kufa kwa stress za kuhofia unanitafutaUtakufa na stress! Kabla hujakamatwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huwa nnapoteza hela na muda vya ninj sasa kama mnajua hamshindi?Na ndicho mnachopenda siku zote. Mteremko! Mkiwekwa kwenye ulingo sawa wa kufanya siasa dakika mbili tu mmeshapoteana.
Kwa nini aanzishe vuguvugu la kumng'oa Mbowe aliyekaa miaka sijui 10+ badala ya ccm iliyokaa madarakani kwa miaka 60 and still watanzania ni masikini wa kutupwa
Ndiyo ndo kizazi kilichotengenezwa na CCM,refer tafiti mbalimbali juu ya literacy level ya watanzaniaKwahiyo hao ndio hawana akili? Kwahiyo Mnyika na Kubenea wanatawala watu wasio na akili?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Utakufa na stress kwa kumchukia Rais wakati yeye anadunda tu kama una uwezo mfuate Magogoni uone cha mtema kuni.Mkuu unataka kuja kunikamata nilipo? Ili nisije kufa kwa stress za kuhofia unanitafuta
Sawa. Wacha kulialia sasa kama katoto kalikokosa lawalawa.
Mtazitapika tu hela zetu zote mlizo tuibia nyinyi mchwa wa lumumba. Ni suala tu la muda.
Huyu ni "Comforter in Chief" anawajibika kufanya hivyo, ila tu isiwe ni kwa ajili ya kiki na kampeni za uraisi. Ni lazima amaainishe kutoka moyoni na rohoni kwake, na pia aendelee kufanya hivyo bila ya kutaka "public attention" ili thawabu yake ikapate kupokelewa mbinguni.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James kuhusu changamoto ya Usafiri wa Bajaji aliyokuwa akiomba kupewa ili imsaidie kuendesha familia yake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi kumchangia mama huyo kiasi cha Shilingi Milioni 3.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5. kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makore
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara baada ya kuzungumza na Wananchi.
PICHA NA IKULU
Basi vumilia maumivu wanachama ndio wanaamua mwenyekiti awe nani! Wewe shabiki tu kumbe.Mimi sio mwanachama wa cdm wala mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali shabiki wa kutupwa wa cdm. Wanachama ndio wana haki ya kumuweka na kumtoa kiongozi yoyote. Usinipe jukumu liko nje ya uwezo wangu.
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki?Ndiyo ndo kizazi kilichotengenezwa na CCM,refer tafiti mbalimbali juu ya literacy level ya watanzania
Habari wadau
Leo nilikuwepo ubungo stendi ya mkoa wakati magu anapita.. nilishangaa sana kuona wakatisha tiketi na madalali wa mabus ubungo wanaacha kazi zao za kutafuta hela na kutoka nje ya stendi na kuanza kumshangilia magu..
Sijawai kuona CCM ikishangiliwa hivi na vijana maskini maisha yangu yote... najuaga ccm ni wazee tu..
Ukweli kikwete na mkapa mlituangusha wa Tanzania.. nakumbuka mlikuwa hadi mnapigwa mawe na wananchi..
Fikiria wananchi wanachoka mpaka kurushia mawe msafara wa Rais bila kuogopa jela.
Ila leo rais wa CCM anasimama sehemu korofi kama ubungo na anashangiliwa na wauza maji, wapiga debe, hii ni aibu kubwa
Rais wa CCM zamani asimame ubungo kweli bila uoga wa kupigwa mawe.
Nasubiri kwa hamu kumuona Magu akienda kariakoo , Temeke, Tandale, kuona atapokelewaje.. ila hii ya Ubungo imenifanya nikubali Wananchi maskini wanampenda Magu
Basi vumilia maumivu wanachama ndio wanaamua mwenyekiti awe nani! Wewe shabiki tu kumbe.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Magufuli kaletwa na Mungu kwaajili ya watanzania.