NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Wewe ni mkimbizi.ulikuja kupewa hifadhi Tanzania wakati mlipokua mnachinjana Rwanda.kwahiyo maguful akuhusu.Mimi usinichanganye kwenye hilo kundi la watanzania wanaomtegemea Magufuli.
Wewe ni mkimbizi.ulikuja kupewa hifadhi Tanzania wakati mlipokua mnachinjana Rwanda.kwahiyo maguful akuhusu.
Mungu mbariki mtumishi wako Rais wetu kipenzi Magufuli.
Wewe ni miongoni wa hao wenye za kuvukia barabara na kutafuta ugali wa Leo tu na ndo maana magu akaona akuweka lockdown mtakufa kwa njaa maana leo usipoenda kupiga debe au kuendesha basi kwenda moro ukapewa posho kesho huwezi kula
Ombaomba wa kutegesha. Mimi Magufuli ananikera tu na aina ya siasa anazofanya! Huwa anapenda kufanya matukio simple ili kufunika mambo mazito anayotakiwa kujibu!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James kuhusu changamoto ya Usafiri wa Bajaji aliyokuwa akiomba kupewa ili imsaidie kuendesha familia yake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi kumchangia mama huyo kiasi cha Shilingi Milioni 3.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5. kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makore
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara baada ya kuzungumza na Wananchi.
PICHA NA IKULU
Kama ana uhakika atapata kura zaidi ya 95% kwanini anaogopa tume huru ya uchaguzi? Mataga mnatia kinyaa..Dah umati wa Ubongo leo watu kama utitiri, yaani fly over ilifurika balaa, JPM atapata over 95% ya vote aisee..
This pic will go viral worldwide, JPM mtu wa watu duh
View attachment 1483554
Kinachoshangaza ni kuwa na watu wanaoamini hadaa za aina hii.Madictator bana kwa kuhadaa umma kuwa wanakubalika hawajachacha.
Pole sana,kacheck corona ,nina hakika unaumwaUtakufa na stress kwa kumchukia Rais wakati yeye anadunda tu kama una uwezo mfuate Magogoni uone cha mtema kuni.
Kwani PM Sokoine alijuwa na viatu juzi ngapi? Ulitaka awe na duka zimaKwani mkuu ana raba pea moja hiyohiyo pamoja na jaketi moja tu...???
Wasaidizi wake, ebu oneni aibu basi...[emoji23][emoji23]
Na kwa bahati mbaya sana, hakuna mwenye uthubutu wa kuyaeleza hayo wananchi wayatambue yalivyo.Ombaomba wa kutegesha. Mimi Magufuli ananikera tu na aina ya siasa anazofanya! Huwa anapenda kufanya matukio simple ili kufunika mambo mazito anayotakiwa kujibu!
Unamheshimu vipi Mungu kwa kuwatesa wanaokupinga. Hao anaowatesa wameumbwa na Mungu, alitakiwa awe na huruma, aache ukatiliTanzania itafanikiwa sana, kwenye uongozi wa Rais huyu. Ukimheshimu Mungu, kibali machoni pake na machoni pa watu unapewa.
Wakimbizi wote mnafahamika vizuri mliokuja na waliozaliwa.ni kwa sababu Tanzania ni mama mlezi wa East Africa ndo maana mnachkulia poa.Ni kweli kabisa, tena kimetokea jimbo la gitega.
Wakimbizi wote mnafahamika vizuri mliokuja na waliozaliwa.ni kwa sababu Tanzania ni mama mlezi wa East Africa ndo maana mnachkulia poa.
Ila mkilikologa tunawaanzishia mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba mtu kwa mtu.
Ni huruma ya mama Tanzania.mama anahuruma kwa watoto wake.Anzeni jioni hii, kesho mbali.
Hiyohiyo pea moja inamfaa chief, na hata hivyo amependeza....ππKwani PM Sokoine alijuwa na viatu juzi ngapi? Ulitaka awe na duka zima
Hapana chief...πππππHicho kitakufanya umnyime kura mkuu