Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

Urushe jiwe kwa Magu maisha unayataka au huyataki, Kikwete na Mkapa ni wanademokrasia ni tofauti na huyu.
 
ukiachana na kwamba jamaa ni prezidaa ila bado celeb, yaani ata akitolewa cheo cha uraisi anabaki celeb! hana shida ya kuanguka kwenye ngazi ili watu wamskilize
To me he is not a celeb, he is not a good speaker like Tundu Lissu and Zitto Kabwe. Weka mdahalo wa yeye, Zitto na Lissu ndio utajua akina nani wapo vizuri upstairs.
 
Off point
 
Nilikuwa nampenda Lissu, kila atakachofanya mkulu yeye alikuwa anaweka press conference kuonesha udhaifu mpaka alipomiminiwa risasi.
 
Wakimbizi wote mnafahamika vizuri mliokuja na waliozaliwa.ni kwa sababu Tanzania ni mama mlezi wa East Africa ndo maana mnachkulia poa.
Ila mkilikologa tunawaanzishia mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba mtu kwa mtu.
Acha kumsema kiaina kiongozi wetu.
 
Hao wenye manguo ya kijani walitoka nayo wapi kama hawakuambiwa bosi wao angesimama hapo?
 
Sasa mbona fair ground inaogopwa kama ukoma
 
Off point
Kwa hiyo mtu hadi anafikia umri wa kustaafu Alikuwa hafuatilii michango yake kama imeenda mifuko ya pension anasubiria astaafu amtume Raisi afuatilie? Raisi ni messenger wake au?
 
Nilikuwa nampenda Lissu, kila atakachofanya mkulu yeye alikuwa anaweka press conference kuonesha udhaifu mpaka alipomiminiwa risasi.
Na sasa hivi ndio wanatakiwa wamzonge kabisa, lakini wanamwacha tu yeye pekee ndiye asikike. Na anaipenda sana hali hiyo, ndiyo maana kaanza mapema kutoa vitisho.
 
Bila shaka Corona imeisha kabisa Dar
Nimeogopa vile alivyokaa nae karibu na kumpa mkono yule mama mlemavu!
Huenda kuna itifaki zilizingatiwa kabla na baada ya tukio kwa lengo la kulinda afya ya mtu muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu.
 
To me he is not a celeb, he is not a good speaker like Tundu Lissu and Zitto Kabwe. Weka mdahalo wa yeye, Zitto na Lissu ndio utajua akina nani wapo vizuri upstairs.

yote maoni, hata diamond kuna watu wansema sio msanii ni mfanya biashara! kwan unadhan its something new? there is no way unasema tundu lissu is good while hajawahi kua president something you can compare with! lakini kitendo cha kumkaribisha lowasa 2015 that proves he is not only a stupid leader but a big TRAITOR
 
Mtu wa kitengo!!??
Unajua maana yake!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…