mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Wanajitia dole halafu wanajinusa kisha wanalalamika ajabu hiiChadema wanatia huruma kwa kweli, naikumbuka Chadema ya Dr slaa machozi yananitoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajitia dole halafu wanajinusa kisha wanalalamika ajabu hiiChadema wanatia huruma kwa kweli, naikumbuka Chadema ya Dr slaa machozi yananitoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajitia dole halafu wanajinusa kisha wanalalamika ajabu hii
Wamtoe wapi?
Doomed spyChadema na uzushi
Ccm ni Maji marefu usipoheshimu viongozi lazima utapotea tu
Nakukumbusha Cc,ipo na itaendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo
Kwasababu bado hakuna vyama makini vya kuvaa viatu vya Ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm ya Leo ni km imezaliwa upya inapendwa kila kona ya Tanzania
October Magufuli ushindi ni 98%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kale kazee mlikokalisha sumu kwenye kikao cha kamati kuu kanaendeleaje?CCM ya leo ni kama imezaliwa upya inapendwa kila kona ya Tanzania.
October Magufuli ushindi ni 98%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hali ya Mangula inaendeleaje? Au polonium??Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba.
Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao mfukoni na kuyakataa yale ya kamati ya Maadili chini ya Mzee Mangula.
Tayari MAGUFULI na Bashiru wametumia kipindi hiki cha corona kushawishi WaNEC wakubaliane na Maamuzi yao ya Mfukoni, wanasahau kuwa Mzee Mangula anaumwa.
Mnec mmoja kutoka kanda ya kati alisikika akisema " Tumechoshwa na uhuni unaofanywa na Mwenyekiti na Katibu, wamekuja kutuharibia ccm yetu,".
WaNEC wanasema wao ndio walioituma kamati ya Mangula iwahoji akina Kinana, kwa hiyo wanasubiri ripot kutoka kamati ya maadili ili watoe maamuz rasmi ya chama.
WaNEC wengi wanasikitika kitendo alichofanyiwa Mzee Mangula, cha kugombezwa kama mtoto mbele ya wajumne pale alipotaka kuisoma ripot ya kamat yake.
Corona inaua, tuchukue taadhali na tufuate maelekezo ya wataalamu wa afya.
Mungu ibariki Tanzania.
Ni mimi Mwajuma Mwasapili
Kutoka Ileje- Mbeya
0754297651
Total failure awamu ya tano.Huyo mwenyekiti ana genge lake ambalo litawaburuza kama wake zao. Mwenyekiti na genge lake alianza kuwaona wajumbe wote ni Mabwege baada ya kuleta mamluki toka upinzani na kuwapa nafasi za kugombea ubunge kihuni, bila kufuata utaratibu na mkakaa kimya. Sasa hivi kawaona nyie ni bendera fuata upepo hivyo anawaburuza tu atakavyo. Na tatizo la mwenyekiti wenu kuwaburuza, ni baada ya kugundua kuwa mnategemea ile kofia yake kubwa kupata madaraka.
Tuliwaambia wanaccm kuendelea kupata madaraka bila ridhaa ya wananchi, bali kupitia kofia nyingine ya mwenyekiti wenu, tabia hiyo ataitumia pia hata kuwafanyizia nyinyi. Nadhani sasa mnaona jinsi ule uhuni unavyowageukia. Mtu muovu huingia kwa nyimbo za uzalendo, na mkiingia mkenge anaanza kuwafanyia uhuni. Ukiona mzalendo anachezea box la kura, basi hapo anza kustuka.
Lini uliwahi kuwa mwanachadema na ukaipenda?Chadema wanatia huruma kwa kweli, naikumbuka Chadema ya Dr slaa machozi yananitoka
Sent using Jamii Forums mobile app
WE acha hizoChadema wanatia huruma kwa kweli, naikumbuka Chadema ya Dr slaa machozi yananitoka
Hizo 2% zilizobaki ni kura za kina nani? Kama kweli magu anapendwa Basi ashinde kwa 120%! Vinginevyo hatuamini ubashiri wa pweza mchovu!CCM ya leo ni kama imezaliwa upya inapendwa kila kona ya Tanzania.
October Magufuli ushindi ni 98%
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahh yule msaliti? Si kagoma kurudi nasikia anataka uraia wa Belgium
Kwanini Mzee Mangula alionyeshwa kazi wakati akufanya janja janja yoyote? Mlichokifanya sio sahii..bora mgemfanyia Kinana tu.Nec ipo chini ya Mzalendo Magufuli, yeyote atakayeleta janja janja lazima aonyeshwe kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahh yule msaliti? Si kagoma kurudi nasikia anataka uraia wa Belgium