Rais Magufuli, Bashiru wagonga mwamba, walazimisha maamuzi yao kupita bila pingamizi, NEC wagoma kuburuzwa

Nec ni chombo chenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kama wana maamuzi wanayotaka kufanya wafanye badala ya kuja mtandaoni na kutuletea uzushi
 
Kumbe Mwajuma, haya wasalimie Mbeya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh ileje na mwajuma napata mashaka kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni wewe?
 
Kwa Sasa Kuna ccm mpya zama zile zimeshapitwa na wakati (membe na vijana wake kwa kuwaangalia wanayoyafanya utafkri wao ndio wenye chama na wanzilishi wa chama hicho) wakumbuke kuwa safishasafusha uozo huo Bado inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamuwezi. Kufanya lolote,magufuli kawaweka wote mfukoni.

Huo ndio ukweli, hata akiamua kubadili katiba anaweza kabisa kwa sababu ya upumbavu wetuw
 
Kasome katiba ya chama cha mapinduzi na kanuni zake ndio urudi hapa. Kaelimike kwanza elimu haina mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ya leo ni kama imezaliwa upya inapendwa kila kona ya Tanzania.

October Magufuli ushindi ni 98%

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Kila kona ndo wapi?.... who will love this shit? ni tunafanya kan unafiki tu tupate Makiti ila Mpo chini mbaya hamna jipya bila kuiba kura na kutumia police mnajua kinachowapata
 
Hizo 2% zilizobaki ni kura za kina nani? Kama kweli magu anapendwa Basi ashinde kwa 120%! Vinginevyo hatuamini ubashiri wa pweza mchovu!
Soma ulichoandika kwanza ukielewe
 
Chadema na uzushi

Ccm ni Maji marefu usipoheshimu viongozi lazima utapotea tu

Nakukumbusha CCM ipo na itaendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo

Kwasababu bado hakuna vyama makini vya kuvaa viatu vya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho chama kinachoogopa hata wanafunzi wa chuo chama gani hicho
Ukiongea tu unalambishwa SUMU.
MANGULA yupo Germany na hata nduguze hawaruhusiwi kumona.
Hiyo ndiyo ccm chama cha Walisha sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema na uzushi

Ccm ni Maji marefu usipoheshimu viongozi lazima utapotea tu

Nakukumbusha CCM ipo na itaendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo

Kwasababu bado hakuna vyama makini vya kuvaa viatu vya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ww ndo Cocochanel nini?? Au Lizaboni??
 
Mnec mmoja kutoka kanda ya kati alisikika akisema " Tumechoshwa na uhuni unaofanywa na Mwenyekiti na Katibu, wamekuja kutuharibia ccm yetu,".
Hakuna mnec mwenye jeuri ya kutoa hiyo statement ikimlenga Jiwe. Acha kutulisha matango pori
 
We kweli hujui kitu ulipaswa kukaa kimya, mkutano mkuu taifa unatengua vizuri tu maamuzi CC na hata NEC. Mkutano mkuu taifa ndo bosi wa ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…