Rais Magufuli, Bashiru wagonga mwamba, walazimisha maamuzi yao kupita bila pingamizi, NEC wagoma kuburuzwa

Unaongelea waNEC wapi? Mbona mimi sina taarifa hizo za kipumbavu!?

Wrong timing... Siasa tupa kule chukua hatua ya kujikinga!!
 
Watajuta kumpa sumu Mangula. Hata kama Mamboleo alijifanya kupiga mkwala wa kumsaka aliyempa sumu mzee wa Iringa aliambulia jicho Kali akaishia kula kona.
CCM nadhani kitakuwa chama cha kwanza duniani kumlisha sumu Makamu mwenyekiti wake kwa sababu ya kupishana mitazamo.
Sasa nadhani watu wa NEC wameona huu sasa ufala huu, mwenyekigoda na katibu ni wageni hawakijui chama kisha Leo wanatupelekesha kama wasen..?
Ngoja tusubiri huo mtiti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waki
Wakiruhusu tu maamuzi ya hao watu chama kitakufa maana wao wataweka watu wasio na sifa.Pia suala Mangula kuwekewa sumu zisipite hivi hivi waanze na aliyeleta maji ya kunywa.Nec wakicheka tu chama kimekufa,Huu ni mwaka wa kutoa adhabu
 
Acha kutoa siri zetu nje wewe, uwe na nizamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…