Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Vitu vingine uitaji kufikiria sana hawa watu marketing research ni sehemu kubwa ya investment decisions zao hakuna segment ya kuwekeza Disney Africa sio Tanzania tu.
Hata huko kwao uwezi kukuta ‘Ralph Lauren’ anafungua duka maeneo ambayo watu mishahara yao below 30K. Hayo maduka utakuta posh areas.
Disney yenyewe asilimia kubwa ya wateja wake ni middle class families za Europe na US sio walalahoi wakizungu.
What’s the difference?Chief, hbu tuangalie the fact that walijiita “Disney World”! Then turudi!
Wewe ndio umeanza kuni quote sio mimi.
Mie nimechangia post tu
Angalia kwanza annnual visitors wa Paris Disneyland on average ni karibu laki nane kwa mwezi.
Hawa watu wanataka outside dining many expect to find Michelin Star restaurants.
Kutembelea culture attraction
Theatres
Kwa sababu ni middle class wanategemea kulala at least 3 stars hotels
Wanategemea robust transportation system from point A to B
You got to understand your customers taste.
Ndio maana unaona huko mbugani hotel zao ni za hadhi kwa sababu mzungu anaekuja Tanzania most likely ana kazi nzuri huko kwao.
To name a few sio kwamba najifanya mjuaji it’s a reality check.
Mimi nime leta link na wewe leta yako twende sawa.Chief! Are you really serious??
Yani una quote bei za America na kuzifananisha na mradi unaoombwa kuwepo Simiyu??
Hebu google search Japan entrance into their “Japan Disney World””!
Halafu turudi hapa! Hivi kweli you think that these “Walt Disney” pips wamekurupuka kwamba they really want this area(Simiyu) for investments??
Chief! Are you really serious??
Yani una quote bei za America na kuzifananisha na mradi unaoombwa kuwepo Simiyu??
Hebu google search Japan entrance into their “Japan Disney World””!
Halafu turudi hapa! Hivi kweli you think that these “Walt Disney” pips wamekurupuka kwamba they really want this area(Simiyu) for investments??
Mtu wa wizara kasema tupo kwenye majadiliano na wizara.Why unabishana na wazo?
Thread yote inazungumzia wazo la mtu ambalo
Limeanza fanyiwa kazi
Hadi mtu wa wizara husika kaja kuthibitisha kitu kipo kinajadiliwa
Wewe uko busy kubisha the possibility..
Simply sababu unaweza Google data
What’s the difference?
What is the first criteria to service sector investment decision?The difference is Chief;
Waliandaa mazingira mapema ya kuifikia dunia (ikiwemo Africa na nchi zake) kwa phrase tu kabla hata ya kuamua wapi wanawekeza!!
Mimi nime leta link na wewe leta yako twende sawa.
Nilitegemea ungesema potential market size; ndio tuendelee na mjadala.Sorry Chief!
I’m a believer of kutafuta kabla ya kutafutiwa!
Ulikopata info zako from the beginning watakupa info zako to determine your ending!
Hawa watoto wanapenda mno kukurupuka na vi data wanavyo Google
Mtu wa wizara kasema tupo kwenye majadiliano na wizara.
Ndugu mimi sio kwamba na google nafanya ivyo kurahisisha kukupa facts kutokana na uelewa wako wa strategical thinking on what it takes to operate business industries.
Nikisema twende na business jargon za PESTLE, SWOT, Segmentation, Investment appraisals, Customer satisfaction, decision making, supporting industries, Human Resources planning, upkeep ya Disney land, promotion campaign strategies na mengineo sio size yako hayo.
Usiku mwemaBased on current business climate?
As if hii nchi itakua hivi hivi milele?..
Nilitegemea ungesema potential market size; ndio tuendelee na mjadala.
Usiku mwema sorry kwa kuingilia mada maana watu kuna wamekereka.
Alamsiki
Ok who is a typical Disney customer and where does he or she live? What is the size of that market in Tanzania and East Africa?Ooh No! Chief! Stick it right to the end!
Unaonyesha mapungufu yako iwapo unalo jibu tayari kabla ya swali!
Ain’t suitable at all!
Mama watu atu google ukituulizia kwa wanaotujua shughuli zetu watakwambia jamaa basi tu wakikwama huku kwenye dissertation zao mimi ndio fixer wa last resort.
Usishangae siku nyingine ukinikuta nashusha nondo za psychology na kujifanya expert wa health management.
Disney awawezi fungua theme park Africa ya $10 billion. Ni sawa na kuchezea hela.
According to hao matapeli kutoka Singapore mradi ulikuwa uanze mapema mwaka huu with an initial investment of 500 million US na ufunguliwe within 2 years. This is beyond unachoweza kuita kuwa kwenye drawing boards. Na ujue kuwa kwa Walt Disney any prospective project ina impact kwenye value ya shares zao na kuwaongezea uwezo wa kuinvest. Wasingekaa kimya mpaka August kwa mradi uliotakiwa ku take miezi sita iliyopita. International Matapeli wanatujua tunavyopenda sifa za kijinga na tusivyopenda kufanya due dilligence hivyo wanatuletea miradi kama hii ya Ali Nacha. This project stinks to the high heavens na tunatakiwa tuuepuke kama ukoma.Hawawezi weka tangazo Kwa project ambayo iko Kwenye drawing boards
Ok who is a typical Disney customer and where does he or she live? What is the size of that market in Tanzania and East Africa?