Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Badala ya kuwalaumu, tungewashauri tibisii kuajiri mafundi kama wale wanaorusha matangazo kutokea kwenye mbuga za wanyama maana labda hawakutarajia kuna siku watatakiwa kuusha matangazo kutokea maporini kama leo
 
Technology imefanya mambo yawe rahisi. Marais wote walizungumza popote pale nchini hata wakiwa ziarani, maadam technology iliyokuwepo ili-facilitate kuwasiliana na Watanzania.
Kama Rais anafanya kazi akiwa Chato, sio ajabu kuzungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na Watanzania kujua pia ana ujumbe gani.

Rais wa Marekani akiwa kwenye popote including kwenye airforce one, technology inamsadie kuratibu mambo yote ya kiutawala.

Mzee Sitta akiwa Spika alijenga ofisi ya Spika Urambo, ina maana muda Spika Sitta akiwa ofisini Urambo, facility za ofisi yake ilimsaidie a-function sawa na akiwa Dodoma au Dar
 
Badala ya kuwalaumu, tungewashauri tibisii kuajiri mafundi kama wale wanaorusha matangazo kutokea kwenye mbuga za wanyama maana labda hawakutarajia kuna siku watatakiwa kuusha matangazo kutokea maporini kama leo
😀 😀 😀 😀
 
Chato anafanya nini?
 
Hawezi kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa ukiwa Kishimundu, usitufanye watanzania wote hamnazo.
 
Acha chuki zako kwanini unaumia?kwani hataeleweka? Mbona maamuzi Chadema yanafanyikia Tengeru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe tunafikiri kabla ya kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 

..huyu amejicha na kuwabwagia wasaidizi jukumu la kupambana covid19.

..wakati huohuo anawadanganya wananchi kuwa covid19 ni kaugonjwa kadogo.

..Kama ni kaugonjwa kadogo kwanini anajicha kijijini?

..alichofanya hakipaswi kufanywa na amiri jeshi mkuu yeyote yule.
 
Jamaa muoga sana.......Kuzungumza na wananchi kuhusu Corona unatumia vyombo vya ulinzi? Amenirudisha kwenye korosho badala ya kutumia principles za uchumi kufanya deals na wafanyabiashara yeye anaita jeshi eti washughulikie uchumi....CHEAP....
Leo suala la afya vyombo vya ulinzi vinalinda nini?
NCHI IMEKOSA UONGOZI
 
Hivi waliojenga ikulu walikuwa wanafikiri kuna siku tutakuwa na rais asiye na kwao?Kituo cha kazi cha Magufuli ni Dar na Dodoma hiyo ya kufanyia kazi huko chato ni kukosea heshima waajiri waajiri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…