Yaani rais anaongea tbc wako bize na vipindi vyao...
Dah!
Wameshtukia kwamba wanaongea vitu vya kiusalama zaidi, itakuwa ni mbinu za kivita dhidi ya corona, inabidi iwe siri. Wasije wakavujisha siri za kivita.
Tupe hotuba moja tu aliyowahi kuhitubia Taifa akiwa Msoga. Au unadhani mikutano ya kampeni ndo kulihutubia Taifa?Mbona wakati wa kikwete kulikuwa na ikulu msoga?
Kwahiyo una maanisha huyu hakufikiri ? Ngoja waje wenyewe
Yani aongee rais CDM wapanic kiaje na kivipi? Ebu fafanuaHahahhaha.. Chadema wamepanic wanatamani hata ardhi ipasuka waingie ili wasiwe wanasikia jina Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikulu ni mahali patakatifu.unajua maana ya ikulu ww? au umekariri tu....
😄😃😀sahau
Mkuu,nimecheka mpaka nimepaliwa na mate,na kukohoa juu,wenzangu imebidi washituke hapa,na hili baridi hapa Nizhny Novgorod,basi ni balaa tupu.Yani jamaa akijua hayuko mubashara anaweza kumvunja Msigwa mguu.
Imebid nicheke tuYani jamaa akijua hayuko mubashara anaweza kumvunja Msigwa mguu.
Kwahiyo una maanisha huyu hakufikiri ? Ngoja waje wenyewe
Hehehe amenikumbusha hii sceneMkuu,nimecheka mpaka nimepaliwa na mate,na kukohoa juu,wenzangu imebidi washituke hapa,na hili baridi hapa Nizhny Novgorod,basi ni balaa tupu.