Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
cheki anachoongea usiteme pumbaInasikitisha kwakuwa nibora mtz umsikilize rais wa Uganda, Kenya au hata Trump!! Wao wanakaa ofisini hawaendi cha likizo/mapumziko au mambo binafsi vijijini mwao... Wanawatia moyo madaktari na manesi,wanahangaikia vifaa vya tiba, wanahimiza ubunifu kama ule wa Rwanda na machine za kupumulia,wanatoa direction ya uchumi,wanaenda globally kupigania wananchi wao na huo ndiyo uongozi sasa!!
Wakitaka kuongea tafadhali tujuzane hawa wengine wengine toka vijijini mwao waache wawashtue polisi wawadhibiti wananchi...
Safi wanunue mtambo wa kisasa wafatilie mpaka huku jf [emoji23][emoji1787][emoji2960]Magufuli kama Xi Ping kabisa. Anasema wanaoandika kwenye social media kusema watu waliukufa kwa Coronavirus wafatiliwe. IGP kapewa Lungu.
Rais: Kuna upotoshaji mkubwa sana kwenye wanaokufa, si kila mtu anayekufa sasa ni corona.
IGP shugulika na mitandao, ni saizi yako hiyo.
Don niacheee pliiiiz sitaki kucheka jamani. Tuendelee kumuomba Mwenyezi Munguz atatusaidia sana, hawezi kutuacha, cause anatupenda... scientifically miili yetu itakua resistant tu. Ni mapito!Mimi pia sijambo, namsikiliza scientist hapa anazungumzia vapour yenye above 100°C inavyoua corona.
Nimecheka. Sasa mtu ujifukizie vapour above 100 itauua Coronavirus. Wanasayansi anaongea kitu ambacho hajakifanyia experiment.Mimi pia sijambo, namsikiliza scientist hapa anazungumzia vapour yenye above 100°C inavyoua corona.
Sasa yeye yupo mbali huko,anabishana na walio Jikoni!!!!🤣🤣🤣Rais: Anasema wizara iseme ukweli, data za wanaopona yeye anazo ni zaidi ya 100, ila eti imetajwa 11 tu.
Rais: Kwenye mitandao inaonekana namba za simu nyingi siyo za Tanzania, zinatumika kutangaza uongo na kuleta taharuki.
Unafikiri uraisi ni sawa na Sacco's ya ufipaKudili na mimi hakutamsaidia kitu. Nchi imemshinda, period.
Mwigulu Nchemba anacheza na akili za bosi wake wa zamani kulinda future yake.Tunakokwenda wizara ya afya wataogopa kutoa takwimu za wanaokufa na Coronavirus. Naona ushauri wa Mwigulu Nchemba umemgusa Rais.
Don niacheee pliiiiz sitaki kucheka jamani. Tuendelee kumuomba Mwenyezi Munguz atatusaidia sana, hawezi kutuacha, cause anatupenda... scientifically miili yetu itakua resistant tu. Ni mapito!
Ofisi ya Rais Huwezi kuihamishia sebuleni kwako.This is very low opinion mkuu. Karne ya 21 unauliza anaongozaje nchi akiwa chato? Viongozi wa un wamekutana via vid wengine wakiwa majikoni mwao. Live na mkutano unaenda!