Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
BashiteRais: Taarifa zitatolewa na Waziri Mkuu, Waziri wa Afya au ... (sijasikia vizuri wa tatu ni nani).
Nimecheka. Sasa mtu ujifukizie vapour above 100 itauua Coronavirus. Wanasayansi anaongea kitu ambacho hajakifanyia experiment.
Huko Geita hakuna ikulu ndogo? Au hujui kila mkoa una ikulu ndogo? Hizi cheap politics hazitufikishi popote.Huvi hakuna muandishi wa kumuliza yeye ofisin anarudi lni mana naona anaropoka ropoka ugoro wakat yy yupo Chato kajifungia
Nilijua itakua Live vile tamko limetoka. All in all, bora wamefanikiwa kuonyeshaTumerudi tena TBC, ila tunarudia yaliyopita.
Ila chato inampenda, jamaa katakata
Ok.Ofisi ya Rais Huwezi kuihamishia sebuleni kwako.
Nilijua itakua Live vile tamko limetoka. All in all, bora wamefanikiwa kuonyesha
Viwavi vya ufipa sijui wana hali gani [emoji23][emoji1787][emoji2960]Ok.
Ndio imehamishiwa sasa kama ulidhani haiwezekani. First timer!
Ukakae kwenye bomba fungulia steam baada ya muda mambo yanaenda sawa.Kujifukiza ndio nini?
Sent from my iPhone using JamiiForums
PoleOk.
Ndio imehamishiwa sasa kama ulidhani haiwezekani. First timer!