3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Msemaji wa serikaliRais: Taarifa zitatolewa na Waziri Mkuu, Waziri wa Afya au ... (sijasikia vizuri wa tatu ni nani).
Amesema msiamini mibarakoa ya nje;mshoneeSure. Rais anasema anafurahi vyombo vya usalama kupambana na corona kama vita nyingine.
Na wananchi msipokee kitu chochote kinachoweza kuwa chanzo cha corona.
Sasa sijui hapa anawazungumzia wanaotoa misaada ya vifaa.
Huko Geita hakuna ikulu ndogo? Au hujui kila mkoa una ikulu ndogo? Hizi cheap politics hazitufikishi popote.
Asew yaani japo huwa nina tabia za kuchallenge ila nikishasikia kauli za kiume hivi huwa navimba sana.
Mwanaume msimamo
Sent using Jamii Forums mobile app
Firm FiascoRais John Magufuli ameitaka Wizara ya Afya itoe takwimu za kweli kuhusu maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na kutangaza takwimu sahihi za watu wanaopona ili kuondoa hofu kwa Watanzania.
Kwa mujibu wa Rais idadi ya watu waliopona ni ndogo kuliko hali halisi na kwamba, ana taarifa kuwa hadi wakati Waziri Mkuu alipotangaza idadi ya watu walioambukizwa, waliopoteza maisha na waliopona zaidi ya watu 100 walikuwa wamepona.
Msemaji wa serikali
Hata Ikulu ni nyumbani kwa raisi....Unaongozaje nchi kutokea nyumbani kwako???!!! Really???!! Nchi ya watu milioni 55?! Kweli?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati eeeAcha kukariri bwashee....... mambo hubadilika duniani kote!
Kwa joto la 100'c si Pua itafanana kama mchemsho wa mbuzi wa pale kwa Mangi?Nimecheka. Sasa mtu ujifukizie vapour above 100 itauua Coronavirus. Wanasayansi anaongea kitu ambacho hajakifanyia experiment.
Kila mkoa Kuna Ikulu. Iringa ikulu IPO gangilonga,Mwanza IPO capripointi. Musoma IPO kwa RC ...Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Jiwe umejua kunifurahisha leo, kuna wapumbavu wanatamani fungafunga oh funga masoko funga maduka funga baa mara zuia kile nawaambia hawajui wanachokitamani wangejua adha na tabu za lockdown na fungafunga ni zaidi, afadhali mara elfu kumi ya corona wasingekaa wakathubutu kupayuka habari za lockdown na funga hiki fungia kile.