Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Una uhakika au unabwabwaja tu??Hakuna biashara iliyofungwa zaidi ya baadhi ya makanisa na misikiti nani afunge apate hasara? Tunafanya biashara Kama kawaida sijui huko ulipo wewe unaposema biashara zimefungwa ni wapi
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Wazee msio na haya wa bendera fuata upepo mmeanza kugeuka viuno angani kuanza kuunga mkono sasa kuwa data hazikuwa sahihi. Wakati baadhi ya watu wanalalamika data zinazotolewa sio halisi mliwazodoa mkiongozwa na mkuu wa mkoa wa Mzizima, sasa kama kawaida yenu jamaa kageuka na nyie ghafla mnageuka. Aibu sana hii, na ni kinyaa sana. .Taarifa za waliopona ni za muhimu zaidi Ripoti ionyeshe jumla ya wanaoumwa waliopokelewa,waliopona na waliokufa na balance ya ambao bado wanapambana na hali yao na corona wakigalagala hospitali ambao hawajukikani kama watakufa au kupona
Raisi yuko sahihi
Dhambi ya kubaguana ni mbaya sana. Hakika, tusibaguane...
Niko dar nafanya biashara karibu ujioneeUna uhakika au unabwabwaja tu??
Jilockdown wewe mwenyewe...Lockdown ni kwa faida yako,Mimi na yeye mwenyewe
Rais John Magufuli ameitaka Wizara ya Afya itoe takwimu za kweli kuhusu maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na kutangaza takwimu sahihi za watu wanaopona ili kuondoa hofu kwa Watanzania.
Kwa mujibu wa Rais idadi ya watu waliopona ni ndogo kuliko hali halisi na kwamba, ana taarifa kuwa hadi wakati Waziri Mkuu alipotangaza idadi ya watu walioambukizwa, waliopoteza maisha na waliopona zaidi ya watu 100 walikuwa wamepona.
Jo soma hii..Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Ni jambo jema sana!
Huu ndio mkutano siyo ule wa Mbowe uliotaka kutuharibia maombi ya kitaifa!
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Kila mkoa Kuna Ikulu. Iringa ikulu IPO gangilonga,Mwanza IPO capripointi. Musoma IPO kwa RC .
Zinaitwa ikulu ndogo.
Mzee mkapa Aliwahi kuhutubia Nchi akiwa uingereza( alienda kutibiwa mguu)
Sherehe za Kitaifa Kikwete alihutubia Mei mosi 2015 akiwa CCM kirumba.
Inawezekana fungua fikra.
Hakuna biashara iliyofungwa zaidi ya baadhi ya makanisa na misikiti nani afunge apate hasara? Tunafanya biashara Kama kawaida sijui huko ulipo wewe unaposema biashara zimefungwa ni wapi
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Ngonja nikujibu upya. Sikujua kama ni wewe Fundi Mchundo. Yes Olny in Tanzania. Umeona Giuseppe kakimbia Ikulu kuu?Macron kakimbia ikulu ?Trump kakimbilia Florida ?Mseven kakimbia Kampala ?Uhuru je ?Huyu Rais wa kutuambia tujifukizie mfuke wa above 100'C?Tule vitunguu.umesema sahihi, naomba kukuhakikishia kuwa hata huyu Victoire ameongea kama kasuku, kakuruouka, kaiga, kalimeza na ndio maana anaandika bila aibu 'only in Tanzania' ukimuuliza nchi zingine inakuwaje? hawezi kutoa taarifa akiwa mbeya, mwanza, arusha?
mbona JPM mwenye wala sio mtu wa viwanja, na kula bata mamtoni....................hata akienda chatto alaumiwe?? aisee
achana nao hao
FarolitoEti anashauri tujifukize kwa mvuke "Corona watakufa wenyewe",ngoja tusubiri hayo maelekezo ya namna ya kujifukiza kutoka wizarani
Sent using Jamii Forums mobile app