Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Hakuna biashara iliyofungwa zaidi ya baadhi ya makanisa na misikiti nani afunge apate hasara? Tunafanya biashara Kama kawaida sijui huko ulipo wewe unaposema biashara zimefungwa ni wapi

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Una uhakika au unabwabwaja tu??
 
Anawapataga wapumbavu wake.
Nchi imekua ya ovyo sana hii.
 
Taarifa za waliopona ni za muhimu zaidi Ripoti ionyeshe jumla ya wanaoumwa waliopokelewa,waliopona na waliokufa na balance ya ambao bado wanapambana na hali yao na corona wakigalagala hospitali ambao hawajukikani kama watakufa au kupona

Raisi yuko sahihi
Wazee msio na haya wa bendera fuata upepo mmeanza kugeuka viuno angani kuanza kuunga mkono sasa kuwa data hazikuwa sahihi. Wakati baadhi ya watu wanalalamika data zinazotolewa sio halisi mliwazodoa mkiongozwa na mkuu wa mkoa wa Mzizima, sasa kama kawaida yenu jamaa kageuka na nyie ghafla mnageuka. Aibu sana hii, na ni kinyaa sana. .

Hebu kwa majasho yale yale na vibweka vile vile muulizeni mkuu anasema data ni za uongo, yeye kuna ndugu yake aliumwa akapona? Si mlikuwa mnasema anaebishia data aseme kama kuna ndugu yake aliumwa corona?
 
Huenda hapo kwenye taarifa za waliopona kuna utofauti kidogo wa taarifa kati ya waliotangazwa na Waziri Mkuu na hiyo aliyonayo Mh.Raisi sababu inaweza kuwa kipindi au muda wa kuthibitisha kisayansi ya afya wamepona haujatimia kwa baadhi ya waliopata vipimo vya awali na dalili za ugonjwa kupotea.

Nafikiri wanatakiwa wafanye vipimo mara kadhaa baada ya kuonekana wamepona, na lazima siku kadhaa zitimie.
Itakuwa vibaya kama wakitangazwa kwa kuharakisha taarifa kwa lengo la kuondoa hofu wananchi.

DISCLAIMER: Haya ni mawazo binafsi ya mtu asiyekuwa na taaluma ya kitabibu, zingatia taarifa rasmi zinazotolewa na mamlaka husika.
 
kwa nini yeye asitoke shimoni awe anatangaza kma hana uhakika na watendaji wake wa kazi?
Rais John Magufuli ameitaka Wizara ya Afya itoe takwimu za kweli kuhusu maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na kutangaza takwimu sahihi za watu wanaopona ili kuondoa hofu kwa Watanzania.

Kwa mujibu wa Rais idadi ya watu waliopona ni ndogo kuliko hali halisi na kwamba, ana taarifa kuwa hadi wakati Waziri Mkuu alipotangaza idadi ya watu walioambukizwa, waliopoteza maisha na waliopona zaidi ya watu 100 walikuwa wamepona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.

..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.

..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.

..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.

..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.

..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Jo soma hii

Jr[emoji769]
 
Ni jambo jema sana!

Huu ndio mkutano siyo ule wa Mbowe uliotaka kutuharibia maombi ya kitaifa!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.

..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.

..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.

..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.

..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.

..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.

Jr[emoji769]
 
Kweli ule msemo wa banian mbaya kiatu chake dawa. Hatimae nimeuona kwenye siasa

Baada ya rais magufuli kukaa kwa muda kadhaa bila kuongea chochote watu walikua wamesha kosa Cha kufanya Wala chakuongea. Mpaka ikafikia hatua zito akaonyesha hisia zake kwa maguful na kumtaka ajitokeze azaran Kwan wame mmis.

Leo rais kaongea kwa muda mchache tu lakini jamiforums na mitandao mingine iko inaenda ku stack sababu ya ubize hasa jamiforums Kuna Uzi mpaka unashindwa usome ip uache ip.
Kiufup magufuli kuto kuongea au kufanya shughuli zozote zile wanao athirika Kwanza ni upinzan sababu wanakua hawana hoja za kuongea Wala za kufanyia siasa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mkoa Kuna Ikulu. Iringa ikulu IPO gangilonga,Mwanza IPO capripointi. Musoma IPO kwa RC .
Zinaitwa ikulu ndogo.
Mzee mkapa Aliwahi kuhutubia Nchi akiwa uingereza( alienda kutibiwa mguu)
Sherehe za Kitaifa Kikwete alihutubia Mei mosi 2015 akiwa CCM kirumba.
Inawezekana fungua fikra.

..Chato kuna Ikulu ndogo?

..Butiama, Mkuranga, Lupaso, na Msoga hakuna ikulu ndogo.

..Ni kweli Mkapa alihutubia toka Uingereza. Lakini taifa lilikuwa linatambua kuwa anatibiwa. Na taifa halikuwa ktk hatari ya ugonjwa kama covid19.

..Jpm ana udhuru gani unaomlazimisha ahutubie taifa toka sebuleni, kijijini kwake?
 
Hakuna biashara iliyofungwa zaidi ya baadhi ya makanisa na misikiti nani afunge apate hasara? Tunafanya biashara Kama kawaida sijui huko ulipo wewe unaposema biashara zimefungwa ni wapi

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk

Endelea kuamini unachoamini ukisubiri kusifu kitakachosemwa next na mungu wenu jiwe.
 
umesema sahihi, naomba kukuhakikishia kuwa hata huyu Victoire ameongea kama kasuku, kakuruouka, kaiga, kalimeza na ndio maana anaandika bila aibu 'only in Tanzania' ukimuuliza nchi zingine inakuwaje? hawezi kutoa taarifa akiwa mbeya, mwanza, arusha?

mbona JPM mwenye wala sio mtu wa viwanja, na kula bata mamtoni....................hata akienda chatto alaumiwe?? aisee

achana nao hao
Ngonja nikujibu upya. Sikujua kama ni wewe Fundi Mchundo. Yes Olny in Tanzania. Umeona Giuseppe kakimbia Ikulu kuu?Macron kakimbia ikulu ?Trump kakimbilia Florida ?Mseven kakimbia Kampala ?Uhuru je ?Huyu Rais wa kutuambia tujifukizie mfuke wa above 100'C?Tule vitunguu.
Again kakimbia Ikulu kuu kaenda kijijini sababu ya Coronavirus. 😥😥😥
 
Back
Top Bottom