Kweli sasa kifafa cha hii mimba uliyonayo kimefika pabaya..sijui kama kitakuacha salama plus na hii corona..!!Dar es salaam magari ya fumigation yalipita mitaani watu wakaamini wadudu wa Corona wanadhibitiwa kumbe ni mende na viroboto.
Iringa mkuu wa wilaya aliwataka wananchi wa mkoa huo wawakwepe watu wanaotoka Dar es salaam kama vile ukoma, kumbe siyo kila atokaye Dar ni muathirika.
Mwenyekiti wa Chadema alipendekeza lockdown kumbe hilo halitawezekana, Dar pekee ina watu zaidi ya milioni 6 ukiwafungia ndani watakula nini?
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na huu ndio ukweli mchungu
Maendeleo hayana vyama!
Kama yangu au Mimi sijaipata bado hiyo tiki
JK angetuachia tu Lowassa.Ni kwamba watz tumepatikana!
Kwa hiyo ikulu ya mkoa wa Geita ipo Chato ?Hivi makao makuu ya mkoa wa Geita ni Chato eeeh ?Unyelile.Ww mjinga sana ,hujui kila mkoa huwa una ikulu ndogo?
kwa mujibu wa Rais Magufuli, Tanzania inalipa shilingi bilioni 700 kama rejesho kila mwezi kwa mashirika ya fedha ya dunia.
ameviomba vyombo hivyo, hasa world bank kuzipatia pesa nchi maskini, Tanzania ikiwemo, bila masharti ili ziweze kupambana na janga la corona na pia visamehe madeni.
karibuni kwa mjadala.
Kama pia wameskip na waliokufa kwa Corona!Sio data hazikuwa sahihi wali skip za waliopona!!!!
Yaani European scholars hakukosea kuhusu Africa,nimeanza kuaminiMkuu wetu amekumbusha tiba za asili ,ndio salama na tunamudu.Mara nyingi tumetoa rai kamati ya taifa itupe elimu na hamasa si lazima kila mgonjwa afike hospitali.Wengi tutajenga kinga immune na kuwakabili virus na kuendelea na maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya ujumbe huu kusambaa.Tumesikia kwenye vyombo vya habari maeneo fulani, hata hizi mask zimetolewa kwenye nchi fulani wamezikuta na corona. Vyombo vya ulinzi na usalama waanze kushughulikia vitu vya msaada visije leta madhara. Ukiletewa mask lazima ujue imetoka wapi
Huyu jamaa angeziba vizuri pengo la kanumba sema tu hakutambua kipaji chake mapema!Dah dah dah dah daaaaaah daaaaaah
Daaaaaaaaaaaaaaaaahh
Nmebaki mdomo wazi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnasahau na wachawi katika hii vita ?Mkuu wetu amekumbusha tiba za asili ,ndio salama na tunamudu.Mara nyingi tumetoa rai kamati ya taifa itupe elimu na hamasa si lazima kila mgonjwa afike hospitali.Wengi tutajenga kinga immune na kuwakabili virus na kuendelea na maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jo😃😀😄Jo kuna wakati unakuwa kama mwezi mchanga
Jr[emoji769]