Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Tufungue shule zote na vyuo ili ienee vizuri na watu wafe vizuri,itapendeza sana
 
Beatrice, utamgusa makonda? Wengine wote walikuwa wapambe, kiongozi ni Makonda (de facto President) . na hii ilikuwa na njia ya kuiba hela (kupiga hela)!
 
Dar es Salaam ina wagonjwa wengi kwasababu ni ‘great city’ ambayo lazima iwe na wagonjwa wengi. Nimeteua Katibu Mkuu mpya ili takwimu za wagonjwa wanaopona ziwe zinatangazwa ili wananchi wawe na confidence
cook data!
 
Rudia kumsikiliza kisha uje uandike habali yenye usahihi na sio kuwahi kuandika tu ili uwe wa kwanza, binadamu hata habali za mungu kwa wanadamu walichakachua kila thehebu linatafsili kivyake, dini zimekuwa nyingi mno.
Habali??? Thehebu??? Linatafsili???

Dunderhead
 
Leo anasema kupuliza( fumigation) ni ujinga, na yeye alivyosema watanzania tusali je??? Kweli nyani haoni his behind,,,
 
Dar es Salaam ina wagonjwa wengi kwasababu ni ‘great city’ ambayo lazima iwe na wagonjwa wengi. Nimeteua Katibu Mkuu mpya ili takwimu za wagonjwa wanaopona ziwe zinatangazwa ili wananchi wawe na confidence
Kwa hiyo ni justification ya kufa kwa malaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…