Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Ulitaka iwe kwenu Dada?(Ikulu Chato). Only in Tanzania.
Huyu naye asituchoshe sisi,kwani hajui nani aliagiza Dar ipuliziwe dawa? Hebu apishe huko na maigizo yake!Nimewaita ninyi vyombo vya Ulinzi na Usalama mfanye uchunguzi hata kwenye hizo fumigation, nani alitoa maagizo?. Lakini pia uchunguzi mfanye katika 'testing kits' na hizo barakoa zinazotoka nje. Jiridhisheni kama ni salama kwa Watanzania
Ndiyo ulitaka iendeshwe tokea wapi bossYaani vita dhidi ya coronavirus itaongozwa toka Chato, Mkoani Geita Tanzania !
Mkuu shida ya huu ugonjwa ni kwamba by the time unajisikia kuumwa unakuwa umeshawaambukiza watu wengi ambao na watuumwa baada ya muda.leo la kupima ni kuwaidentify wale wote wenye virus na kuwacontain sehemu moja ili kuzuia wasiambukize wengine mfano tukpima Wana Dar na kujua 10000 wameambukizwa tuwacontain ili wasiambukize Wana Dar wote 5mKwa akili yako wewe ukishapima,ukagundua watu wana corona virus,then unafanya nini?Una dawa?Una facility za kutosha?Kama watu hawaumwi,nini kinakuwasha kupima?
Sent using Jamii Forums mobile app
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Mtaalamu nisaidie mbona Marekani wamefanya hayo yote unayoyasema lakini bado maambukizi yanaendelea tu kila siku?Mkuu shida ya huu ugonjwa ni kwamba by the time unajisikia kuumwa unakuwa umeshawaambukiza watu wengi ambao na watuumwa baada ya muda.leo la kupima ni kuwaidentify wale wote wenye virus na kuwacontain sehemu moja ili kuzuia wasiambukize wengine mfano tukpima Wana Dar na kujua 10000 wameambukizwa tuwacontain ili wasiambukize Wana Dar wote 5m
Mbona wakati wa kikwete kulikuwa na ikulu msoga?
Achana naye wewe sisi tutaendelea kumsikiliza kwa kuwa ni Rais wetu tulimchagua sisi wenyewe boss!Afe kwa corona.
Kwanini mnamsikiliza?
Umepata nini cha kukusaidia ktk maisha yako toka kwenye hotuba zake.
Achaneni nae aongee kivyake.
Unadhani atakusaidia nini, jiongeze peke yako ndgu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo Kwetu Geita. Makao makuu ya mkoa.Ulitaka iwe kwenu Dada?
Rudi shuleni aiseeKama kwenu mnakaa kwenye gari ndiyo hivyo hivyo
Acha ukabila wewe!!Shy ndo TZ atiiii acheni uchochezi. Ni zamu yetu kwani hata teuzi za leo kateua wasukuma 98% mtajuju
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii mtaizoea tu.Besti nilitaka kukupita. Kwanini umechange avatar Picha yako tuliyokuzoea??
Sasa inakuuma mini wewe K?Ndiyo Kwetu Geita. Makao makuu ya mkoa.
Naona unapenda kuweka picha za watoto wazuri ingawaje wewe unasura ya amorface!Na hii mtaizoea tu.
Nipime nini? Hivi wewe unaweza kufanya kama yeye anayofanya?