Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Nimewaita ninyi vyombo vya Ulinzi na Usalama mfanye uchunguzi hata kwenye hizo fumigation, nani alitoa maagizo?. Lakini pia uchunguzi mfanye katika 'testing kits' na hizo barakoa zinazotoka nje. Jiridhisheni kama ni salama kwa Watanzania
Huyu naye asituchoshe sisi,kwani hajui nani aliagiza Dar ipuliziwe dawa? Hebu apishe huko na maigizo yake!
 
Kwa akili yako wewe ukishapima,ukagundua watu wana corona virus,then unafanya nini?Una dawa?Una facility za kutosha?Kama watu hawaumwi,nini kinakuwasha kupima?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shida ya huu ugonjwa ni kwamba by the time unajisikia kuumwa unakuwa umeshawaambukiza watu wengi ambao na watuumwa baada ya muda.leo la kupima ni kuwaidentify wale wote wenye virus na kuwacontain sehemu moja ili kuzuia wasiambukize wengine mfano tukpima Wana Dar na kujua 10000 wameambukizwa tuwacontain ili wasiambukize Wana Dar wote 5m
 
Kutoa hotuba kutokea Chato sio issue, issue ni yaliyomo kwenye hotuba yake, yapo mambo ya kitaifa na yapo ya kibinafsi, kwa mfano kukataa lockdown Dar, ni la kitaifa na inabidi lifuatwe kama alivyosema, swala la kujifukiza ni la kibinafsi, ni hiari ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ipo!

Si heri wanafunzi waendelee na masomo kama kawaida!
 
Afe kwa corona.
Kwanini mnamsikiliza?
Umepata nini cha kukusaidia ktk maisha yako toka kwenye hotuba zake.
Achaneni nae aongee kivyake.
Unadhani atakusaidia nini, jiongeze peke yako ndgu
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.

..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.

..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.

..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.

..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.

..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shida ya huu ugonjwa ni kwamba by the time unajisikia kuumwa unakuwa umeshawaambukiza watu wengi ambao na watuumwa baada ya muda.leo la kupima ni kuwaidentify wale wote wenye virus na kuwacontain sehemu moja ili kuzuia wasiambukize wengine mfano tukpima Wana Dar na kujua 10000 wameambukizwa tuwacontain ili wasiambukize Wana Dar wote 5m
Mtaalamu nisaidie mbona Marekani wamefanya hayo yote unayoyasema lakini bado maambukizi yanaendelea tu kila siku?
 
Afe kwa corona.
Kwanini mnamsikiliza?
Umepata nini cha kukusaidia ktk maisha yako toka kwenye hotuba zake.
Achaneni nae aongee kivyake.
Unadhani atakusaidia nini, jiongeze peke yako ndgu

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye wewe sisi tutaendelea kumsikiliza kwa kuwa ni Rais wetu tulimchagua sisi wenyewe boss!
 
Kusikia tu Mboye ataunguruma naye akakurupuka kuwaita wakuu wa vyombo vya usalama, chezea chama kubwa wewe!
 
Back
Top Bottom