Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona


He ni kweli analipa bilioni 700? Huwa simuamini kabisa huyo mzee.
 
ni afadhali asikilizwe Rais...maana huwa hakosei

PM anaweza akawa kwa sasa anaandaa barua ya kuomba radhi,kwa makosa ya kutoa taarifa zenye kasoro..



this is Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa kwanza ndiye mkweli, wapili kaambiwa.
 
Apa naona wapinzani kupigwa asubuhi na mapema uchaguzi wa Oktoba. Ila JPM the guy is genius... sema kumuelewa wachache ndiyo bado.

Kama Magufuli ni genius basi mimi ni Isaack Newton. Sioni namna yeyote mtu anaweza kutunga sentensi hiyo hiyo moja inayomtaja jiwe na neno "genius" na ikawa realistic. Hata kukiwa na neno SIO bado itakuwa ni overstatement ya karne.
 
Duh, Kule kupuliziwa dawa, dar Na Dodoma Ni upuuzi mtupu.duh.Kwa kweli kila MTU apambane Na hali yake kwa msimamo huu Wa raid.
 
Mi nadhani Jiji kama Dar linategemea sanaa mikoa mingine hasa kwenye upande wa mazao ya chakula so kwa upande wangu sioni effects kubwa zaidi ya kiuchumi ambayo the whole country inaexperiance kwa kipindi hiki.
 
Acheni kuwaua watanzania kwa ujinga wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kule Italia, Spain, na USA walichelewa sana kuchukua hatua ngumu kiasi kwamba walipochukua hatua za kuwafungia watu walifungia watu waliopata maambukizi na hao waka ambukiza ndugu zao wa karibu kwenye familia wakiwa majumbani mwao.

Huu ni mzigo na mtihani mkubwa mno kwa dunia na hasa kwa raisi wetu.
Tusitukane mamba kabla ya kuvuka mto.
Tujenge desturi ya kuheshimu taaluma.
Tuheshimu mamlaka na tusipotoshe mambo.
Tusitishe watu.
Tusiwajengee watu kujiamini kuliko pitiliza kiasi cha kupuuzia tahadhari.
 

Nilivyoona notification kwamba YEHODOVA quoted you, nilijua ntakutana na pumba, ila nilichokutana nacho ni zaidi ya nilichotarajia.

Hadi nimeona aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…