chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Rwanda walipiga loĉkdown, walifika 147, na zaidi ya nusu wameshapona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaitaji tukope ili tuji jengee uwezo, kinachotakiwa fedha zinazo kopwa ziwe na riba yenye mantiki na fedha izo zitumike vizuri katika miradi husika.
Kwasasa tuna miradi mikubwa ya ma trilioni ya shilingi endapo itakamilika na ikaendelezwa vizuri taratibu kama nchi tuta anza ku ukimbia utegemezi na kuombaommba.
Mim nampongeza JPM kama kweli kila mwezi tunaweza kulipa bilioni miasaba za madeni tena mengine ameyarithi, uyu jamaa ni mwamba kwelikweli.Sasa naanza kumwelewa anaposema Nchi hii inaweza kuwa Donor country.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyoongea kwa msisitizo as if huko chato corona haifiki au huko hakuna watu...sio kila kitu umezeshwe jaribu kufikili kwanza nje ya box.Yeye kaenda kujificha chato,kwani yeye mjinga?Watu wengine hata akili ya kujiongeza hawana!
Apa naona wapinzani kupigwa asubuhi na mapema uchaguzi wa Oktoba. Ila JPM the guy is genius... sema kumuelewa wachache ndiyo bado.
We endelea kushupaza shingo wakati yeye yuko mafichoni,jiongeze!Unavyoongea kwa msisitizo as if huko chato corona haifiki au huko hakuna watu...sio kila kitu umezeshwe jaribu kufikili kwanza nje ya box.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kuwaua watanzania kwa ujinga wenuUmetembelea mortuary za Marekani na Italy ambako wamejifungia? Au unasema tu, hata Rwanda umetembelea mortuary zake? Usijidanganye kaka, wewe mtaani kwako unakokaa, kazini kwako, kanisani kwako, kwenye ukoo wako umeona watu wangapi waliokufa kwa CORONA? Au unasikia maneno ya mtaani?
Tunaliba bilion 700 tunakopa 1triliin. Alafu mapato yetu kwa mezi wastan ni 1trilion.He ni kweli analipa bilioni 700? Huwa simuamini kabisa huyo mzee.
Hiyo 66 sio ya Uganda hiyo?!Rwanda active cases ni 66 tu
Mkuu kule Italia, Spain, na USA walichelewa sana kuchukua hatua ngumu kiasi kwamba walipochukua hatua za kuwafungia watu walifungia watu waliopata maambukizi na hao waka ambukiza ndugu zao wa karibu kwenye familia wakiwa majumbani mwao.Umetembelea mortuary za Marekani na Italy ambako wamejifungia? Au unasema tu, hata Rwanda umetembelea mortuary zake? Usijidanganye kaka, wewe mtaani kwako unakokaa, kazini kwako, kanisani kwako, kwenye ukoo wako umeona watu wangapi waliokufa kwa CORONA? Au unasikia maneno ya mtaani?
Sio kweli mwanasiasa upinzani tishio nani? Mbowe,zito kabwe,seif Sharif Hammad, mbatia? Ni wapinzani? Na no viongozi Wa upinzani? Mpinzani alikuwa mtikila tu
Lisu is a crap mzurumaji kuzurumu wenzie upinzani wanampa mchongo Wa kupiga hela ukikubali anaula wote peke yake na kujikausha