Hongera sana Jf Doctor Endelea kutupa msisitozo kwenye hili janga la coronaMie wala sio Dr, isipokuwa kijijini kwetu hii vita inapiganwa kupitia health promotion ni muhimu zaidi wananchi kupata kila angle ya elimu hili wajikinge.
Yaani zaidi ya msisitozo wa kunawa na maji tiririka hakuna la ziada raia wengi awajui hata wakipata Corona wata deal na changamoto zipi.
Wivu tu unakusumbua...Mataifa yamlilia aende kutawala huko...Ebu unataka kuniambia kuna mtawala ambae amefanya brilliant decision kama Mh.Rais? Angekua USA apo ungemuona kwenye books of records.
Endelea kuota ndote nyevu tu.Anataka kujiuzuru, nini? Corona siyo mchezo! Jamaa anaogopa corona kuliko ukoma. Kwa nje utamsikia: haka kamafua ka kolona...
Unaju maleria inaua watu wangapi tz kwa siku ?Mpaka na komenti muda huu walio like mada yako ni mataga wenzako.
Duh!.......🙄🙄🙄......Kwani akipata Corona hakuna dawa za kujifukiza?
Pole sana...Brilliant and smart knows this buddy..Najiuliza huyu angapatikana kipindi cha Tauni,HIV ,Kipindupindu...Dunia ingekua salama sana.Don't make me laugh. Huyu huyu laughing stock wa Africa aliliwe na mataifa? What have you been smoking?
Acheni kuweka chumvi kulazimisha hoja zenu.Jaribu kufanya ziara kwenye mochwari zetu ujionee
Jr[emoji769]
Vipi Spain, Italy, France, USA wanafanya fumigation?
Nimekupa mfano wa hapa jirani yetu bado huamini?Sayansi ipi kwenye CORONA? Sayansi ambayo haikufaa Marekani, Spain, UK, Italy, France, German, Canada ingevaa nini Tanzania?
Daa,ila huyu jamaa kwa kuwachukia mabeberu.Nadhani mataifa yangekuwa hayatusikii angesema wazi kuwa waliturushia virusi hawa kwa njia ya bluetooth!!Na pia tumeshauriwa tupige mvuke kama kawa na tusikubali Barakoa za mabeberu wanaweza wakachomekea corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuitwaga Kavulata,,,,,,Rais Magufuli hakupepesa macho alipowaruhusu watanzania waendelee na shughuli zao za kujipatia riziki huku wakiendelea kuchukua hatua mbalimbali za kujilinda. Kwa Mara ya kwanza hata wazungu wamemuona Kama kiongozi mwenye maono ya mbali asiyekuwa bendera fuata upepo wa wazungu.
Wakati nchi za Marekani na Ulaya zinawa kulegeza lockdowns sasa Tanzania ukiona kuwa haitawezekana kuwafungia ndani watu wote kwa Mara moja. Nchi zilizojaribu kufanya hivyo hazikupata matoe chanya dhidi ya CORONA.
Sio kila kitu lazima tuwaige wazungu Kama kasuku Kama baadhi wa maRais wa Africa walivyoumbuka. Sasa hivi mataifa yanahangaika kujibu maswali ya watu wao wanaozishindwa lockdowns, hata Rais Trump ameona upuuzi wa lockdowns kijamii na kiuchumi.
Tutamkumbuka hakiyaMungu huyu mswahili wetu akimaliza ngwe yake.
Hapo alikuwa anasisitiza kwamba sio kila anayeumwa Covid-19 ni lazima afe, wapo 100 hadi hivi sasa ambao wamepona kutokana na ugonjwa huo.