Eti hujui kama rais ana washauri wengi? Unauzunisha sana.Hivi huyu jiwe amepata ushauri kutoka kwa madaktari au anajiongelea tu?Maana wenzetu daktari anakuwa pembeni anamshauri mambo ya kufanya sasa huyu sijui anapata wapi
.....🙄🙄🙄......Chaguo ni la kwako wwView attachment 1427032View attachment 1427033
Its not over until its over...[emoji769]
Kuna cha kufurahia hapo? Huu ugonjwa uombe uishe ukiendelea kuwa mkubwa hamna uchaguziMifano hai bwelelee kila kona
Wengi wako wapi mbona anaongea siasa badala ya factEti hujui kama rais ana washauri wengi? Unauzunisha sana.
Huu ni ishindani wa kitoto sanaHata mchungaji Msigwa alipuliziwa!
Nani kafurahia?Kuna cha kufurahia hapo
Si unajua wabongo wanajiongezaNimesikiliza hiyo hotuba na sidhani kama alizilenga hizo mashine, nadhani kuna upuliziaji dawa ulifanyika pale na ndio alichokilenga.
Kati hao 4000 unaombea mmojawapo unaweza ukawa ni wewe au member yoyote wa familia yakoWafiche au wasifiche ngoma itakita 4000 wakati wa Iddi el fitri
Wamanisha masharti yalikuwa tight wakakataa so kwa kauli hiyo inaonekana anahitaji hizo fedha so this time around masharti yaweza kubalika?!
Si wewe unasema hadi Eid el fitri itagonga 4000,we mungu?Nani kafurahia?
Kafahamu hilo ndio maana amemteua Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya mwingine.
Lakini hili jambo halieleweki, inawezekana Rais ndie amedanganywa, maana huko serikalini sasa kila mmoja ana taarifa yake tofauti, sijui wanazitoa wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote waongo.
Rais yupo sahihi kwamba unaweza kuua coronavirus kwa mvuke, au?! Au yupo sahihi kwamba badala ya kutegemea mavitambaa ya puani, imani ndiyo itakayowakinga na coronavirus?!!Sasa ktk hizo nchi unazotaja,ni nchi IPI ina watu wengi,kwa waliosoma takwimu hawashangai hilo. Tuchape kazi. Kansa inaua karibia watu 5 kila siku pale ocean road.
What is corona??
Mh. Rais yupo sahihi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda active case ni 16 tu 45 wameshaponaHiyo 66 sio ya Uganda hiyo?!