TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Bora mheshimiwa rais Magufuli anaendesha nchi akiwa Ikulu ya Chato, still Chato is in TZ kuna rais wa Congo alikuwa anaendesha nchi akiwa Paris na wananchi walikuwa hwapigi kelele za kijinga kama nyinyi,ukiwa rais unaweza endesha nchi hata ukiwa Guest House au Lodge mradi mambo yaende Tu.Aisee kweli hii ni awamu ya tano
Tatizo ujamuelewa na uwezi kumuelewa kwa kupenda kubadilisha maneno tofauti na kile anachoongea.Wengi wako wapi mbona anaongea siasa badala ya fact
....naanza kuamini kauli ya mwigulu nchemba yakutaka tufiche takwimu haikuwa yakeKwahiyo idadi kamili haijulikani, Sasa Merry Saanane alikamatwa kwa lipi?
Kwani Rwanda ina watu wangapi mkuu? Wagonjwa 147 kwa watu 12 mil na wagonjwa 284 kwa watu 56 mil. Ni wapi ugonjwa uko mwingi? Kama hujui statistics kaa kimya.Rwanda active cases ni 66 tu
Hivi huyu jiwe amepata ushauri kutoka kwa madaktari au anajiongelea tu?Maana wenzetu daktari anakuwa pembeni anamshauri mambo ya kufanya sasa huyu sijui anapata wapi
ili ufarahiWafiche au wasifiche ngoma itakita 4000 wakati wa Iddi el fitri
Nani kakutaza kubaki nyumbani ili usife? Baki nyumbani ukitaka.
Hivi unaumiza kichwa chako Kwa huyo kengeYaani kiongozi mkuu wa Nchi Kuja kwa raia kutoa ushuhuda was Jambo ambalo liko chini ya uwezo wake nikuonesha kiasi gani hana mawasiliano mazuri na wataalam wake. Chukulia mfano hizo kemikali zingekuwa na madharaa kwa binadam nani alipswa kuwajibika??, Ilihali haya yanafanyika chini ya kijana wake mpendwa. Tuache kusifu mambo yakipuuzi
Mkuu watu wajinga huchosha ubongo hv ni vitu viwili tofautiKwani Rost si ni mashine za kupuliza sanitizer? Mbona tuna mix madesa
Sent using Jamii Forums mobile app
acha tu jamaa madoctor wasije kuzira bure mambo yakawa magumu zaidi..huyu mtu huyu mungu anamuona.Hivi huyu jiwe amepata ushauri kutoka kwa madaktari au anajiongelea tu?Maana wenzetu daktari anakuwa pembeni anamshauri mambo ya kufanya sasa huyu sijui anapata wapi
Tangu December 2019 China Kulikuwa na ugonjwa na wachina na watanzania walikuwa wanakwenda na kurudi China kwa shuguli mbalimbali hadi hapo March 2020 hali ilipokuwa mbaya huko China. Hivi kwaakili yako hiyo unadhani Kama tungejifungia ndani pale March 2020 hali yetu ingekuwa tofauti? Maambukizi tayari yalishakuweko ndani.Ulishawahi kujiuliza hao unaosema walijifungia walijifungia wakati gani?! Nchi imeshaathirika, ugonjwa umeshaingia mtaani, unadhani hata mkijifungia watu watakosa kufa wakati walishaathirika hata kabla ya hizo lockdown!!
Halafu acha kuongea mambo usiyoyajua... both Rwanda na Uganda HAKUNA hata mmoja aliyekufa kwa corona!!
Hivi huyu jiwe amepata ushauri kutoka kwa madaktari au anajiongelea tu?Maana wenzetu daktari anakuwa pembeni anamshauri mambo ya kufanya sasa huyu sijui anapata wapi