Tatizo sio kuchukiwa, hata wewe kuna watu kibao wanakuchukia kwasababu ya tabia zisizoeleweka, ila mnaleta utani na upumbavu kwenye ishu serious. Anyway unafikiri chuki zinampunguzia nini?, Watu wenyewe ma keyboard warriors.Jiulize kwanini anachukiwa!
Jiepushe na majibu ya "kawabana wapiga dili" maana kina rostam wanapiga mulemule!!
Utterly nonsense stemming from self-enslavement mindedness.Isitoshe, huyu ni kiongozi wa nchi hivyo hatua zote za kiusalama, na kiafya kwake na familia yake ni lazima zipewe kipaumbele mbali ya yote, huyu ni raia namba moja wa Tanzania.
Utterly nonsense stemming from self-enslavement mindedness.
Kwanza ninavyo hisi huwezi ku-classifie watu wa nchi moja, huyu ni first class citizen so he needs special protection na mwengine ni second class citizen umu-exposed deadly contegeos deseas ambayo hayana dawa na longterm side effects are unknown.Tanzania ipo kwenye soft lockdown na ndio maana shughuli zingine muhimu za kiuchumi zaendelea kama kawaida.
Pia, katika soft lockdown hiyo mji wa Dar -es-Salaam unapaswa uendelee na shughuli zote za kiuchumi kuingiza mapato ya serikali yetu maskini.
Hiyo ni kutokana na sababu za kijiografia kwani tuna bandari inayopitisha mizigo ya nchi jirani, wataka tuzuie hiyo mizigo na tusipate ushuru?
Hizo nchi utajazo kama Uingereza wao mpaka sasa wana hard lockdown isipokuwa maduka ya mitaani na supermarkets ambapo kanuni zote za usafi mita 2 kati ya mtu na mtu zinafuatwa.
Nch zingine kama Ujerumani, Austria na Italia wameondoa hard Lock-down na kuweka soft lockdown ili shughuli za kiuchumi ziendelee.
Georgia siku ya Ijumaa wanarudisha shughuli kama gym na sehemu za kukata nywele kabisa.
Hard Lockdown inaleta taabu kiuchumi in a long run na ndio maana kule Marekani walianza vurugu siku nyingi huku wakiandamana na silaha wakitaka hard Lock-down iondolewe.
Kuhusu kwamba raisi anajificha huko Chatoi wewe una uhakika gani kama anajificha?
Inawezekana yeye pia yupo kwenye lockdown wewe na mimi hatufahamu.
Isitoshe, huyu ni kiongozi wa nchi hivyo hatua zote za kiusalama, na kiafya kwake na familia yake ni lazima zipewe kipaumbele mbali ya yote, huyu ni raia namba moja wa Tanzania.
Halafu, wewe wasema kwamba anatisha watu ni vipi anatisha? Ikiwa watu wanapotosha ukweli wa habari na kutoziamini taarifa za wizara husika ya afya wewe wataka upotoshaji wa taarifa uendelee ama?
Respect, man.
Mkuu hzo mochwari hazijaanza kujaa leo wala juzi, km vifo vingekuwa vng kiasi hicho tungeona tu, kifo hakifichwiJaribu kufanya ziara kwenye mochwari zetu ujionee
Jr[emoji769]
Jaribu kufanya ziara kwenye mochwari zetu ujionee
Jr[emoji769]
Seriousness gn hyo walikuwa nayo Uganda na Rwanda ambayo USA, UK, Spain, Italy, North Korea hawakuwa nayo?I won't be surprised, hawa jamaa walikuwa serious since day one!
Kama mabeberu wanaweza kupandikiza virus kwenye baraakoa na kutupaatia msaada, kumbe barakoa zinatunza virus
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani za nchini kwako anazitoa nani na zina uadilifu kiasi gan?Ninani anatoa hizo takwimu? Zina usahihi na uadilifu kwa kiwango gani?
Moja ya masharti ilikuwa 'devaluation'', kusimamisha ajira (hiring freeze), Gov. restructuring etc...misamaha ya madeni huwa inaambatana na masharti ya kibajeti na vipaumbele ktk matumizi ya serikali.
..sijui ulikuwa na umri gani ktk awamu ya kwanza ya Mzee Mkapa. Lakini kuna hatua za kubana matumizi serikali ililazimishwa kuzichukua ili ku-qualify kuingia ktk debt relief program.
..sina uhakika kama Jpm atakubali usimamizi na masharti makali ya mabeberu wa WB na IMF.
Hahaha! ndio maana siku hizi hauweki net kwa vile dawa ya malaria ipo!!Kwani akipata Corona hakuna dawa za kujifukiza?