Hakimu Mfawidhi, Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe, JPM analipa bilioni 700 kwa mwezi, analipa mishahara karibu bilion 600 kwa mwezi, ana miradi ya hospitali na Zahanati, kila mkoa, kila Wilaya.
Ana mradi mkubwa wa reli, mradi wa Umeme, Bomba la mafuta, ujenzi wa vivuko na Meli,madaraja, Barabara, ujenzi wa Rada mpya na viwanja vya ndege, Ununuzi wa Ndege Mpya, Ukarabati wa shule na vyuo vya zamani na vingine vingi ambavyo mimi sivikumbuki.
Katika Nchi za Afrika, Hakuna ata nchi mmoja inayoweza kutekeleza miradi iyo yote kwa pamoja, Iyo miradi niliyo ainisha ukiacha ujenzi wa bomba la mafuta iliyobaki yote ipo katika utekelezaji. Kikwete hakufanikiwa kukusanya fedha kama JPM, yeye aliamini katika misaada. Mkapa alibahatika kusamehewa madeni.Mwinyi yeye alikutana na masharti magumu ya IMF na uchumi mmbovu kabisa.
Ninacho msifu JPM analipa izo bilioni 700 kazi zake zinaonekana, mishahara analipa kwa wakati. Upende usi pende miradi yake iki kamilika kwa wakati Nchi itakua imepiga hatua. Swala la kukopa haliepukiki, ata ao Japani, Marekani n.k Wana Madeni makubwa kuliko ata uwezo wao wa kulipa ayo madeni.
Sent using
Jamii Forums mobile app